Wasafi yalambwa rungu jingine, Zuchu asababisha kupewa onyo kali na kutakiwa kuomba radhi pia kipindi chawekwa chini ya uangalizi

Wasafi wakiwa bado na kidonda cha Nabii Shilla kuudhihaki ukristo na kupigwa faini, TCRA bado wanawalia timing na leo wametakiwa kuomba radhi kutokana na interview ya Zuchu kutumia 'lugha chafu ya matusi ya nguoni isiyo na staha' kwenye kipindi cha 'Refresh'. Pia kipindi hicho kimewekwa chini ya uangalizi.

Katika utetezi wake, Zuchu amesema ana mikataba inayomzuia kutumia lugha chafu na kudai inawezekana katika matamshi yake hakufungua mdomo wake vizuri na lafudhi yake ya kizanzibari alitamka neno mtambo vibaya na kusababisha tafsiri yenye utata.

PIA, SOMA=> Zuchu nimekusikia vizuri ama?
Hahahaha.. Alisema hivi .... Wewe una mtambo wewe[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Radio inaongozwa na STD seven aliyebahatika kupata hela na hataki kuweka uongozi wenye weledi na awaache wafanye kazi yao unatarajia nini?

Ningekuwa Yule kijana kwa sababu ameshajenga empire angetafuta kozi ndogondogo za management na leadership awe anaattend hata za wiki tatu tatu zitamsaidia kusimamia vema biashara zake.

Biashara anazofanya kwa sasa zinahitaji ajue ABCD za uongozi na utawala.
Std 7 mpaka anapata ela basi ana skills ambazo graduates wengi hawana. 😀😀
 
Wasafi wakiwa bado na kidonda cha Nabii Shilla kuudhihaki ukristo na kupigwa faini, TCRA bado wanawalia timing na leo wametakiwa kuomba radhi kutokana na interview ya Zuchu kutumia 'lugha chafu ya matusi ya nguoni isiyo na staha' kwenye kipindi cha 'Refresh'. Pia kipindi hicho kimewekwa chini ya uangalizi.

Katika utetezi wake, Zuchu amesema ana mikataba inayomzuia kutumia lugha chafu na kudai inawezekana katika matamshi yake hakufungua mdomo wake vizuri na lafudhi yake ya kizanzibari alitamka neno mtambo vibaya na kusababisha tafsiri yenye utata.

PIA, SOMA=> Zuchu nimekusikia vizuri ama?
Kampuni ya wahuni inaendeshwa kihuni mwisho wa siku itafungiwa mazima, toka lini mhuni akafanya kazi kwa weledi?
 
Kwahiyo hiki kipindi huwa kinaruka live na watu wanaangalia kabisaa???kwanza uvaaji huo wa presenter wala sio wa kiungwana kwa jamii
 
Kwan hio interview ilikuwa live had washindwe kukiondoa hicho kipande?
 
Ila hawa jamaa wanapenda sana kutrend na mishe za kijinga
 
Std 7 mpaka anapata ela basi ana skills ambazo graduates wengi hawana. 😀😀
Soma nilichoandika acha kushabikia sehemu ndogo eti STD 7 inaonekana una inferiority syndrome soma vizuri nilichoandika sio unakurupuka kuandika upupu mtakuja kufirika hivihivi kisa umeona jina diamond au STD 7 basi unaishia hapo utaolewa kijana wa kiume mwenye kitobo huzuni.

Sijakataa kwamba Hana hela na Hana kipaji Ila nimesema kwa hiyo STD 7 anahitaji sasa elimu kuweza kumanage hizo biashara zake

Kupata hela huwa sio tatizo anyone anaweza kupata Ila kuimanage miradi unayoanzisha baada ya kupata hiyo pesa ndio huwa changamoto.

Hata yeye kapata pesa sababu ya kuomba sio kufanya biashara, so sababu ameingia kwenye biashara na amewekeza pesa alizopata kwenye kuomba basi lazima aende kozi fupi za management asitegemee akina Babu take ambao anajikuta wanamuibia tu.
 
Narudia Std 7 kwa elimu hiyo hiyo akaweja jenga biashara na kupata mafanikio hayo, basi ana skills nyingi kuliko graduates.
By the way yeye ni CEO tu, pale kuna manager vipindi ambaye ni mwanadada mwenye elimu yake. Kama kuajiri kaajiri watu wengi tu wenye madegree yao wa kumsaidia.
 
Soma nilichoandika acha kushabikia sehemu ndogo eti STD 7 inaonekana una inferiority syndrome soma vizuri nilichoandika sio unakurupuka kuandika upupu mtakuja kufirika hivihivi kisa umeona jina diamond au STD 7 basi unaishia hapo utaolewa kijana wa kiume mwenye kitobo huzuni.

Sijakataa kwamba Hana hela na Hana kipaji Ila nimesema kwa hiyo STD 7 anahitaji sasa elimu kuweza kumanage hizo biashara zake

Kupata hela huwa sio tatizo anyone anaweza kupata Ila kuimanage miradi unayoanzisha baada ya kupata hiyo pesa ndio huwa changamoto.

Hata yeye kapata pesa sababu ya kuomba sio kufanya biashara, so sababu ameingia kwenye biashara na amewekeza pesa alizopata kwenye kuomba basi lazima aende kozi fupi za management asitegemee akina Babu take ambao anajikuta wanamuibia tu.
Bakhresa ameajiri mpaka wazungu..
 
Tatizo wanatumia nguvu kubwa kuonekana wako juu ya clouds wakati ubunifu 0 Sasa ili waongelewe wanafanya mambo ambayo ni ya ajabu ajabu mwsho wanatoka katika mstari wa maadili kama chombo Cha habari
Wanaishia kuchezea rungu kila wakiinua shingo
 
Back
Top Bottom