Wasaidizi Samia Suluhu waomba AFCON iahirishwe hadi 2028

Wasaidizi Samia Suluhu waomba AFCON iahirishwe hadi 2028

Tz bado sana,hawako serious kwenye mambo wanayofanya
Haya afcon hiyo alafu mji mzima barabara ni tinduatindua maandaki+mafoleni

Ova
Makonda allijua akiwa mbunge ataweza tetea wananchi. Samia kampa uwaziri ili kumfunga mdomo. Majimbo ya mawaziri hiwa hayana maendeleo.. Mfano mwa Marehemu Mhagama
 
Lugha rahisi waombe michuano ihamishwe kwenda nchi nyingine
Wakati washaandaa UVCCM kwenda na picha za Samia Uwanjani kuonesha Samia anapendwa? Kila Mechi hela itatengwa watu wakuingia bure 500 wakiwa na picha za Samia...

Mabango wataandika Samia ww love you so much... Ili dunia iseme anapendwa. Kupumbaza Dunia
 
Ndo maana CAF hawataki Serikali kujihusisha na Mpira.

Wasaidizi wa anayejiita Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, waomba AFCON iahirishwe hadi 2028.

Wanadai Viwanja na maandalizi hayatakuwa yamekamilika. Wanadai eti Kenya itakuwa kwenye Uchaguzi Mkuu kwamba kunaweza kukatokea Vurugu.

Kwanini waseme Kenya Kutatokea Vurugu?

Aliyekula nyama ya binadamu haachi.

Timu ya ukaguzi kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kwa sasa ipo Tanzania na inatarajia kufanya kikao kuhusu maandalizi ya michuano hiyo.
😆😆
 
Hawa jamaa sijuhi wakoje. Waseme hawana hela...oh tunalipia uchaguzi we tu wenyewe, pia wanaona aibu miji ni vijiji vilivyo changamka.
 
Kuna kipindi tulikuwa tunawacheka Kenya hawana kiwanja. Sasa nini kimetokea hapa kati kiasi kwamba sisi ndio tunaweza kukwamisha AFCON?
 
Nipo humu zaidi ya miaka 14,we danganyika tu na upya wa 🆔
Basi umekuwa unajifunza ujinga.. Kama una miaka 14 na unashindwa kujenga hoja badala yake unatukana na kudhalilisha watu, Jamiiforums haijakisaidiia.. Kama una miaka 14 na hujaambulia chochote, sina shaka kwamba kichwa chako kimejaa kamasi. Ndo maana huna tofauti na wachangiaji wapya hapa JF
 
Mbona muda mwingi sana kumaliza hivyo viwanja? Yaani mwaka mzima na robo hatuwezi kumaliza? Waache matumizi ya anasa pesa wajenge miundombinu ,eg barabara ya posta ali hassan mwinyi tegeta SGR ina miaka mitatu bado haijakamilika yaani ni ujinga mwingi sana nchini ,vipaumbele wameweka kujineemesha wao na si vipaumbele vya nchi.
 
Basi umekuwa unajifunza ujinga.. Kama una miaka 14 na unashindwa kujenga hoja badala yake unatukana na kudhalilisha watu, Jamiiforums haijakisaidiia.. Kama una miaka 14 na hujaambulia chochote, sina shaka kwamba kichwa chako kimejaa kamasi. Ndo maana huna tofauti na wachangiaji wapya hapa JF
Ujifunze JF?!..hapa ni pahala pa info na majungu
 
Back
Top Bottom