figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
- #21
Hela wanagawana kabla hata haijaiva.. Nasikia na Tanga mikoni mwa mwarabu🤣🤣Hela hakuna simple and clear, wauze gari za kifahari za Abdul..
Hela wanagawana kabla hata haijaiva.. Nasikia na Tanga mikoni mwa mwarabu🤣🤣Hela hakuna simple and clear, wauze gari za kifahari za Abdul..
Makonda allijua akiwa mbunge ataweza tetea wananchi. Samia kampa uwaziri ili kumfunga mdomo. Majimbo ya mawaziri hiwa hayana maendeleo.. Mfano mwa Marehemu MhagamaTz bado sana,hawako serious kwenye mambo wanayofanya
Haya afcon hiyo alafu mji mzima barabara ni tinduatindua maandaki+mafoleni
Ova
Wakati washaandaa UVCCM kwenda na picha za Samia Uwanjani kuonesha Samia anapendwa? Kila Mechi hela itatengwa watu wakuingia bure 500 wakiwa na picha za Samia...Lugha rahisi waombe michuano ihamishwe kwenda nchi nyingine
😆😆Ndo maana CAF hawataki Serikali kujihusisha na Mpira.
Wasaidizi wa anayejiita Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, waomba AFCON iahirishwe hadi 2028.
Wanadai Viwanja na maandalizi hayatakuwa yamekamilika. Wanadai eti Kenya itakuwa kwenye Uchaguzi Mkuu kwamba kunaweza kukatokea Vurugu.
Kwanini waseme Kenya Kutatokea Vurugu?
Aliyekula nyama ya binadamu haachi.
Timu ya ukaguzi kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kwa sasa ipo Tanzania na inatarajia kufanya kikao kuhusu maandalizi ya michuano hiyo.
Hujavaa❌*Hujavaa
Jifunze kiswahili
Samia ni kirusi(🦠 virus)Samia ni tatizo.
Samia ni mdudu mbaya sana.
Samia ni ugonjwa usiotibika.
Samia hakuna anachokiwezaMpaka 2030 chuki itakua imekutafuna ubongo kama kaswende
Mkuu inasikitisha sana...Hela wanagawana kabla hata haijaiva.. Nasikia na Tanga mikoni mwa mwarabu🤣🤣
Naona wakimgusa fazafaka wa Kizimkazi hata kama ulikuwa usingizini lazima uamke ule nao sahani moja!😁Una uhakika umevaa pedi sawasawa
You’re wrong! Mtu gani mwingine amewahi kuua Watanzania wengi kama ambavyo yeye ameweza?Samia hakuna anachokiweza
Nipo humu zaidi ya miaka 14,we danganyika tu na upya wa 🆔Usiwe unaandika hivi mitandaoni. Tuifanye mitandao kuwa sehemu salama ya kuhabarishana na kujenga mijadala yenye tija.
Wewe bado kinda sana hapa Jamiiforums... Tutaendelea kukujengea uwezo wa kujenga hoja.
View attachment 3543374
Basi umekuwa unajifunza ujinga.. Kama una miaka 14 na unashindwa kujenga hoja badala yake unatukana na kudhalilisha watu, Jamiiforums haijakisaidiia.. Kama una miaka 14 na hujaambulia chochote, sina shaka kwamba kichwa chako kimejaa kamasi. Ndo maana huna tofauti na wachangiaji wapya hapa JFNipo humu zaidi ya miaka 14,we danganyika tu na upya wa 🆔
😂😂😂😂Una uhakika umevaa pedi sawasawa
Ujifunze JF?!..hapa ni pahala pa info na majunguBasi umekuwa unajifunza ujinga.. Kama una miaka 14 na unashindwa kujenga hoja badala yake unatukana na kudhalilisha watu, Jamiiforums haijakisaidiia.. Kama una miaka 14 na hujaambulia chochote, sina shaka kwamba kichwa chako kimejaa kamasi. Ndo maana huna tofauti na wachangiaji wapya hapa JF