Wasaidizi wa kazi kutembea na Baba wenye nyumba kuna madhara. Dada wa Arusha apokonyea Mwili wa marehemu

Wasaidizi wa kazi kutembea na Baba wenye nyumba kuna madhara. Dada wa Arusha apokonyea Mwili wa marehemu

Na mara nyingi wanaume wenye wanawake wengi na watoto kutoka kwa wamama tofauti huwa hawanaga maisha marefu sijui kwa nini. Huenda stress za hao wanawake au situation nzima ikawa inachangia au kukawa na namna ya infanyika atangulie kuzimu na mara nyingi hao hao wake zake wanahusika.

Utakuta siku ya msiba mke wa ndoa wala hana machozi wala halii na ukimuona ni kama amepata relief kwa huyo jmaa kuondoka. Wanaolia ni mama mzazi na dada wa marehemu lakini mwenye haki zote ni yule yule mke anayefurahia rohoni kuondoka kwa huyo fala..
 
Kuna msiba nilihudhuria juzi juzi jamaa kafariki kaacha mke na watoto, wakati wa maziko yule mkewe hakuonekana hata kama amelia sana, anaonekana yuko fresh tu ila mama wa marehemu pamoja na dada wa marehemu ndio waliokuwa wanalia sanaa na wanaonekana walikuwa dhaifu kabisa.

Cha ajabu aliyekuwa anapewa attention yote ni mke wa marehemu na sio mama mzazi wala dada wa marehemu. Na hata rambirambi zote kakabidhiwa yeye mke ili hali mama mzazi ndio mzee kabisa anaokena hana uwezo lakini hakupewa hata senti. ile kitu ilinifanya nikatafakari sana, it is as if mama mzazi umuhimu wake unakoma pale kijana wake anapooa tu
 
Aache tamaa kivipi ? Binti karepiwa ndani weeee, halafu akafanywa mke.

Kazaa watoto wawili, kajengewa nyumba, kabanwa mbavu miaka kibao, tena mwanzoni kwa kurepiwa, kila aina za milalo, milalo ya kisheria na kinyume na kisheria, huyo ni wife, common law wife! Hana tamaa, katoa huduma, anastahili chake!
Unaijua common law?
 
Hayo ni mazoea tu. Ukoo maana yake hata hujui, ukoo una watu wangapi? Mmoja, mia, ishirini? Unajuaje hawa watu ni wa ukoo mmoja?
Ukoo wa upande wa baba au mama?
Ni mazoea ya kipuuzi sana yanayoathiri maisha ya watanzania.
Ni sawa na kesema Nina hati ya arshi ya Serikali ya mtaa. It's nonsense
Sasa ikitokea mgogoro
utathibitisha vp kama kweli ulipendekezwa na familia wakati hakuna kikao kilicho kaa na kukuchagua!!??
 
Kuna msiba nilihudhuria juzi juzi jamaa kafariki kaacha mke na watoto, wakati wa maziko yule mkewe hakuonekana hata kama amelia sana, anaonekana yuko fresh tu ila mama wa marehemu pamoja na dada wa marehemu ndio waliokuwa wanalia sanaa na wanaonekana walikuwa dhaifu kabisa.

Cha ajabu aliyekuwa anapewa attention yote ni mke wa marehemu na sio mama mzazi wala dada wa marehemu. Na hata rambirambi zote kakabidhiwa yeye mke ili hali mama mzazi ndio mzee kabisa anaokena hana uwezo lakini hakupewa hata senti. ile kitu ilinifanya nikatafakari sana, it is as if mama mzazi umuhimu wake unakoma pale kijana wake anapooa tu
Kwa watu wenye akili wanampa mama yao maisha na mali zake ili kuepuka haya.
 
Kwanini upendekezwe na famiia?
Kwani wwe ndiyo ndugu wa marehemu peke yako ikiwa marehemu ana ndugu wengine, hadi watoto wa marehemu hawakujui!? Kikao cha familia ni muhimu sana ili upate baraka za familia, na hakuna mirathi inafunguliwa tu na mtu mmoja akiwa na Muheshimiwa peke yake! Kwenye nakala ya hukumu itaandikwaje!!??
 
huyo mwenye cheti atawashinda wote mahakamani. aende tu kisheria. bimdogo naye kama hakufunga ndoa ya bomani au kama ndoa ya mke mkubwa ilikuwa ya kikristo, imekiula kwake. hana chake, ila watoto wanaweza kupata.

Kwa hiyo kama bi mdogo alifunga naye ndoa ingekuwa ni halali wakati ndoa ya kwanza ilikuwa hai?
 
Kuna wanaume wanavumilia mpaka wanakopa. Kama ni kazi tungesema amefanya mpaka overtime bila malipo. Mwanaume ananyimwa huduma zote mpaka za unyumba. Akitafuta faraja analaumiwa,, ndiyo maana wangine hukatisha uhai au kuondoka na vyeti na briefcase tu.
Si unatoa talaka tu.... mbona mnapenda visingizio
 
Hapo ndio atajua hajui marehemu docs zote ziko kwa mwanasheria wake nyumbani hakuna lolote...kaacha watoto 12 pia kaka zake wako vizuri kiuchumi watagawanya mali kwa watoto

mke alikua mlevi anapigwa miti mpka kuzaa watoto wawili na mabodanoda...jamaa amehama kwake mwaka mzima hajafika mpka mauti yamemkuta,mke anamtoto mchanga wa mwezi mmoja kazaa na bodaboda
For as long as hao watoto 12 wana mama zaidi ya mmoja nae ni malaya tu kama mkewe....
So Malaya wawili walikutana, hana usafi wowote huyo marehemu mpuuzi.
Na angekuwa wa maana wala asingekimbia, angemtaliki huyo mwanamke na kuendelea huko alikoenda. So ni kenge tu kama kenge zingine kafa kaacha heka heka zisizo na msingi
 
Huo ujinga wa mume au mke kuwa na mamlaka kuwazidi wazazi au ndugu wa muhusika sitaki kusikia.

Kila mmoja akifariki akazikwe kwao isipokuwa tu alitoa taarifa azikwe wapi akiwa hai. Huwezi kuwa na mamlaka ya maiti ya mtoto wangu kwa ujinga unaitwa ndoa

Ukishamzika huyo mme/mke huko unakotaka tayari umekatisha mahusiano kati Yako na familia ya marehemu. Mfano marehemu kwao Tanga wewe unaamua azikwe Dar, hao watoto wako unazani huko Tanga wataenda kufata nini wakati Aliyekuwa anawaunganisha hayupo duniani na mwili wake mnao hapo dar?

Marehemu azikwe kwao Tanga ili wewe na watoto wake mkienda kutembelea kaburi mnatapa wasaa wa kujuana na ndugu wengine wa marehemu au kujuliana hali na undugu unakuwa active.
Mume wangu atazikwa yalipo makazi yetu ya kudumu
Na mimi nitazikwa yalipo makazi yetu ya kudumu....
 
Kwa hiyo kama bi mdogo alifunga naye ndoa ingekuwa ni halali wakati ndoa ya kwanza ilikuwa hai?
kwa ndoa ya kikristo, huwezi kufunga ya pili kabla ya kuvunja ile ya kwanza. ndoa ya kikristo kisheria sio ya mitala. ukiona mke wa kwanza hajapewa talaka, mchepuko anayefunga tena anapoteza muda tu, ndoa yake ni batili, watakaotambulika ni wale watoto tu ila yeye sio mke, hivyo hawezi kupata stahiki anazotakiwa kupata mke, kwasababu hahesabiki mke.
 
Hili linaweza kuikuta familia yangu, ngoja niachane na housegeli.. sema ndio vile namiliki smartphone na nguo
 
Siku ya kuzika bi mkubwa akaingia mahakamani kwa hati ya dharura kuomba zuio na akafanikiwa, issue ilikuwa serious kaburi lishachimbwa, mapadre ikabidi wakafanye Dua pale ya kufunga kaburi tupu na Ile pilau ya msiba wadudu waliifakamia sana
Bold hayo maandishi yanayosema wadudu waliifakamia sana ili iwe na msisitizo😁😁
 
Kususia kuzika ndio nini? Wasuse, kwani lazima kuzika.
Ni ku complicate tuu mambo, hao walizikwa na maji huko kongo, kama ni kaburi hata kwa kukodi watu anakodi..

Sent from my IPhone 16 Pro Max, nimeinunua jana pale karume karibu na duka la Mapajam.
 
Talaka ina gharama zake wwe,na ndiyo hizo wanaume tunazikwepa,maana wengi wetu tulichagua kuo tako badala ya akili!!
Basi mtaendelea kufa kabla ya muda na kuacha migogoro na kibaya zaidi kuharibu maisha ya watoto ambao hawakua na uhuru wa kujichagulia wazazi.....
Ni ngumu sana mwanaume mwenye wanawake mfululu kuishi marefu haswa akiwa na pesa.
Wenzetu Muslims imehalalishwa lakini kwa sisi vita zinakua nyingi sana na baba hutoboi. Kibaya zaidi hata legacy yako inakufa na wewe.
 
Back
Top Bottom