Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Kweli kabisaAmeshasema yeye hashauriwi wala kupangiwa cha kufanya. Labda ungewaomba hao washauri wajiuzuru nafasi zao badala ya kuendelea kutumia na kula kodi zetu wakati hawafanyi kazi yoyote ile.
You mean, some of whom escorted D A B aka P C M to terrorise CMG? Oh, what a coincidence! Mwigulu's "order" to the IGP ,therefore, is of no consequence.Sources have confirmed that security officer who pulled gun on Nnauye_Nape is from the Presidential Security Unit (PSU), not police.
Uko sahihiAdui mkubwa wa huyu Mkuu wetu ni Mkuu yeye mwenyewe. Anatengeneza mtego ambao unaishia kumnasa yeye mwenyewe...
Hashauriki, Hauleweki, Hakosoleki, Haambiliki. Yeye anachotaka ni kusikilizwa tu, kunyenyekewa, Kusifiwa, Kupongezwa nk.
Katika hilo unategemea ni nini?
Worthless comment ever!!! Hivi tunaposema Rais ni taasisi tunamaanisha nini?? Hutumzumgumzii Magu kama mzee kutoka Chato, tunazungumzia Magu kama raisi.Magufuli yuko jinsi alivyo kama vile wewe ulivyo jinsi ulivyo na hakuna wa kukubadilisha, kama hayo ulioyaongelea ndiyo muhimu kwako kwenye kupima mafanikio ya Raisi wa nchi basi usimpigie kura lkn huwezi kumbadilisha anakuja jinsi alivyo, hivyo ningekushauri labda ungwekeza huu muda unaoutumia ktk kumbadilisha mtu jinsi alivyo uuwekeza sehemu nyingine kama huna tafuta hata hobby au nenda Mazoezini itakusaidia pia !
kabla ya kulia ngoja nicheke kidogo,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]