Wasambaza picha za ngono, wanaojiuza mitandaoni, waliojifanya mawakala wa Freemason wakamatwa

Wasambaza picha za ngono, wanaojiuza mitandaoni, waliojifanya mawakala wa Freemason wakamatwa

Hawa jamaa bado wapo sana,

Leo kwenye namba yangu ya Airtel nimepata ujumbe kutoka namba +255 747 994 503 .. ukitangaza Tiba ya asili, Mali, Uzazi, Pete na Zindiko,, kurudisha mke au mume no. 0678 930 224, malipo baada ya mafanikio...

Hivi serikali na idara zake zote imeshindwa kabisa kudhibiti hili tatizo? Huko kwa wenzetu wanazo changamoto za aina hii au ni Tanzania peke yake? Fikiria muda mwingi unaopotea ku-deal na message za aina hii, ambao ungetumika productively.
 
Tuma hela kwa namba hii bado wanatuma wangewakamata hao ingekua poa sana...
 
Back
Top Bottom