Wasanii 10 waliobuma pamoja na kutoa nyimbo kali

Wasanii 10 waliobuma pamoja na kutoa nyimbo kali

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
mara baada ya team za pande mbili kuendelea kushamiri katika mitandaoni hali hii imewanyima nafasi wasanii wengine wa bongo kufanya vizuri nyimbo 10 ambazo zimeshidwa kufanya vizuri 2016 ni hizi

1.kassim mganga _manuari

pamoja na kutoa nyimbo nzuri yenye mahadhi ya pwani kama kawaida yake lakini nyimbo imeshindwa kufanya vizur kama ilivotegemewa ina miezi kadhaa lakini hakuna kitu

2.mo _music_ ado ado
msanii aliyekuja kwa kishindo kwenye sanaa baada ya kutoa basi nenda ilikuwa kama wimbo wa taifa sasa amekuja na ya ado adi watu kama hawana habar nayo hata baada ya kufanya kichupa kikali

3.lady jay day_sawa na wao
baada ya kutoa ndi ndi ndi ilifanya vizuri akaachia nyimbo mpya
ni nyimbo iliyobuma kabisa

4.chid benz ft raymond _chuma

baada ya chid benz kutoka sober alitoa nyimbo aliyemshirikisha kijana wa diamond lakini haijapata mapokezi makubw

5.lina sanga_raha jipe mwenyewe

nayo ni miongoni mwa nyimbo ambazo azijafanya vizuri wala kusikika

6.young killer ft mr blue
msanii young kila alikuja moto sana wakati anakuja ila amejikuta anawakati mgumu baada ya hizi siku zakalibuni kutoa nyimbo mbili zote zimebuma kwa kuendelea kutumia style zile zile

7.banana zolo ft peter msechu_mama
hii ni nyimbo ya mama iliyobuma pamoja ujumbe uliopo ndani awali kipindi cha nyuma banana alishatoa nyimbo ya mama ilishafanya vizur mama zingine zilizofanya vizur ni ya bela na yamoto

8.kala jeremiah _ wanandoto
pamoja na ujumbe ulioimbwa ila watu wameuupuuza sababu pia nyimbo imewaendea walengwa pekeyao

9.ommy dimpoz_hawapendagi

nayo mashabiki hawajaielewa imebuma mazima

10.baraka da prince ft alikiba _ nisamee unaionaje?
 
Huo wimbo wa Baraka nisamehe ndo umebuma kwa aibu kubwa.. Dogo amekuja mjini juzi tu hapa mara anaanza dharau kisa ana demu mweupe!!! Jinga sana dogo huyu naona wananchi wameamua wamuonyeshe kuwa hawataki ujinga ujinga!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] huu wimbo waliukamia sana wakati wanarecord
Wakitoa video yake inaweza kuuboost kidogo
 
baraka anajua kuimba sana ila asingeegemea kwenye timu yoyote ili apate fan base
mimi shabiki wa domo sijifichi baraka ana nikera kumpaisha ally kiba hivyo karibuni atanipoteza na sipo peke yangu
kuna vitu hatakiwi kufanya hadharani kwa udogo wake

nyimbo kali iliyokufa ni mwambie ben pol ft baraka da prince
ben pol ulaumiwe kwa nyimbo hii
 
Huo wimbo wa Baraka nisamehe ndo umebuma kwa aibu kubwa.. Dogo amekuja mjini juzi tu hapa mara anaanza dharau kisa ana demu mweupe!!! Jinga sana dogo huyu naona wananchi wameamua wamuonyeshe kuwa hawataki ujinga ujinga!!
si msukuma yule,rangi ya kale kademu inamchanganya
 
Matatizo ya kubuma nyimbo nyingi yanasababishwa na vitu vingi:-
1.Media - zimejikita kwenye utimu.
2.Wasanii wenyewe kujiingiza kwenye timu.
3.Wasanii kutokufanya promo ya kutosha.
4.Mashabiki kutokusikiliza vitu vingine zaidi ya kutoka kwenye timu zao.
 
baraka anajua kuimba sana ila asingeegemea kwenye timu yoyote ili apate fan base
mimi shabiki wa domo sijifichi baraka ana nikera kumpaisha ally kiba hivyo karibuni atanipoteza na sipo peke yangu
kuna vitu hatakiwi kufanya hadharani kwa udogo wake

nyimbo kali iliyokufa ni mwambie ben pol ft baraka da prince
ben pol ulaumiwe kwa nyimbo hii
hilo suala la kuegemea upande mmoja litamkosti sana huyu dogo.zile timu zina nguvu kubwa sana japo hazina makocha
 
Back
Top Bottom