Wasanii 10 waliobuma pamoja na kutoa nyimbo kali

hapo kwny mzigo wa baraka na kiba kwangu mim sijakubali na pia kwa kala hapo ndo umebug kabisaa
 
Matatizo ya kubuma nyimbo nyingi yanasababishwa na vitu vingi:-
1.Media - zimejikita kwenye utimu.
2.Wasanii wenyewe kujiingiza kwenye timu.
3.Wasanii kutokufanya promo ya kutosha.
4.Mashabiki kutokusikiliza vitu vingine zaidi ya kutoka kwenye timu zao.
Nyimbo zingine ni mbaya tu acheni zibume jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Binafsi mi ni timu diamond damu lakini hata diamond akitoa wimbo mbaya ukibuma sitatafuta justification! Ujue kuna Wimbo hata ukiwa hater vipi utajikuta tu unaupenda na kuucheza, mi sipendi unafiki wimbo wa [HASHTAG]#Aje[/HASHTAG] naucheza sana na kuuimba kabisa.

Btw Ado Ado ya mo music mi naiona nzuri nashangaa why haijahit.

Nakubaliana na sababu zako mkuu, ila ningependa kukuchallenge kuwa hata wimbo ufanyiwe promo vipi utabuma tu. Mfano [HASHTAG]#nisamehe[/HASHTAG]
 
Acha uchokozi,wewe uwezo wako ni ku photoshop tu picha hizi mambo za muziki HUZIWEZI. wimbo una miezi 2,una viewers 5,317,881 INAONGOZA REKODI ZA AFRICA KWA KUTAZAMWA SANA,PENGINE ITAPITWA NA SALOME YENYE MILIONI 3 NDANI YA WIKI 1.

we jamaa usisikie diamond tu ushawashwa ebu badilika kila thread inayomuhusu diamond upo
 
huo wimbo ni mkali sana na unamashairi yaliyokwenda shule KALA JEREMIAH hajawahi kutoa ngoma mbaya aisee
Kweli mkuu, namuelewa sana Kala Jeremiah tangu BSS na wimbo bora wangu kutoka kwake ni DEAR GOD
 
Madee anaimba ujinga mtupu ila anapewa promo kisa yupo kwa mungu watu mawinguni fm na wazee wa kiki
 
Nyimbo zingine ni mbaya tu acheni zibume jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Binafsi mi ni timu diamond damu lakini hata diamond akitoa wimbo mbaya ukibuma sitatafuta justification! Ujue kuna Wimbo hata ukiwa hater vipi utajikuta tu unaupenda na kuucheza, mi sipendi unafiki wimbo wa [HASHTAG]#Aje[/HASHTAG] naucheza sana na kuuimba kabisa.

Btw Ado Ado ya mo music mi naiona nzuri nashangaa why haijahit.

Nakubaliana na sababu zako mkuu, ila ningependa kukuchallenge kuwa hata wimbo ufanyiwe promo vipi utabuma tu. Mfano [HASHTAG]#nisamehe[/HASHTAG]
Nisamehe umefanyiwa promo wapi na wapi
Tofautisha kati ya promo na kutambulisha wimbo sio unapost video 20 za salome kwa siku lakini imebuma kawaida si hatufanyi promo ngoma ina hit yenyewe tu kama ndindindi
Vp lakini @bintikiziwi upo?
 
Huyo baraka sidhani kama atanunua hata baiskeli
Tatizo la hawa kina mo music na kassimu na kala hawana skendo kama wcb ndo maana nyimbo zina buma wanatakiwa watafute mijimama ya bongo movies iwape kiki mbona wata hit tu
Baraka anajifanya profesa jay wakat hata level za wakina barnaba na belle 9 hajakanyaga
 
Nyimbo ya kala haikustahili kubuma

Ya ali kiba na baraka haistahili hata kusikilizwa

Hao wengine sijajua tatizo nini mfano kina kassimu walitoa ili waende fiesta ila wap imekula kwao
 
Nisamehe umefanyiwa promo wapi na wapi
Tofautisha kati ya promo na kutambulisha wimbo sio unapost video 20 za salome kwa siku lakini imebuma kawaida si hatufanyi promo ngoma ina hit yenyewe tu kama ndindindi
Vp lakini @bintikiziwi upo?
Nipo mtani, salome imebuma wapi wakati imehit 3M viewers ndani ya 10 days! ? Ila tuache masihara hiyo nisamehe ni nyimbo mbaya kupata kuimbwa na baraka.

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
 
Nyimbo zingine ni mbaya tu acheni zibume jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Binafsi mi ni timu diamond damu lakini hata diamond akitoa wimbo mbaya ukibuma sitatafuta justification! Ujue kuna Wimbo hata ukiwa hater vipi utajikuta tu unaupenda na kuucheza, mi sipendi unafiki wimbo wa [HASHTAG]#Aje[/HASHTAG] naucheza sana na kuuimba kabisa.

Btw Ado Ado ya mo music mi naiona nzuri nashangaa why haijahit.

Nakubaliana na sababu zako mkuu, ila ningependa kukuchallenge kuwa hata wimbo ufanyiwe promo vipi utabuma tu. Mfano [HASHTAG]#nisamehe[/HASHTAG]
Ukimuona, aisee huu wimbo sijawahi kuuchoka na hakuna wimbo wa ndomo mwingine nilowahi kuupenda kama huu.
 
Tatizo la hawa kina mo music na kassimu na kala hawana skendo kama wcb ndo maana nyimbo zina buma wanatakiwa watafute mijimama ya bongo movies iwape kiki mbona wata hit tu

Snoopy doggy,common,jay z,nas

Tz profesa jay ,,,sugu,,, hao walitoka na majimaa?
 
Mkuu sisi tunazungumzia wabana pua we unawataja wa banaa koo tena zilipendwa wake up
 
Back
Top Bottom