Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Marehemu Cool James Mtoto wa Dandu alitoa nyimbo ambayo ilikuwa na maudhui ya kumdhihaki Mwenyezi Mungu, hakuchukua muda akafa kwa ajali... Bora tu wasanii waimbe kuhusu mampenzi maana ndiyo mada wanayoilewa na ndiyo mada inayoeleweka Zaidi kwa jamiii kuliko kuvamia vamia mada wasizozielewa na kuishia kukufuru!