Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Hahaha we ndo unaota kweli , nenda mtv base, trace na sound city angalia rotation yakeKidogo by Diamond na P square.
Nao umebuma, kubali kataa...
Mkuu ulikua unaitwaje huo wimbo..?Marehemu Cool James Mtoto wa Dandu alitoa nyimbo ambayo ilikuwa na maudhui ya kumdhihaki Mwenyezi Mungu, hakuchukua muda akafa kwa ajali... Bora tu wasanii waimbe kuhusu mampenzi maana ndiyo mada wanayoilewa na ndiyo mada inayoeleweka Zaidi kwa jamiii kuliko kuvamia vamia mada wasizozielewa na kuishia kukufuru!
Siukumbuki jina ila alikuwa anaimba, 'Kila siku tunaimba Mungu ibariki Afrika, kwani Mungu ni kiziwi hatusikii, Mungu alikuwwa wapi, alijificha wapi wakati watu wanakufa kwa njaa n.k'...Mkuu ulikua unaitwaje huo wimbo..?
0404
Huu ndo ukweli ndo maana kuna wasanii wengine hata watoe nyimbo kali vipi inakuwa shidaMatatizo ya kubuma nyimbo nyingi yanasababishwa na vitu vingi:-
1.Media - zimejikita kwenye utimu.
2.Wasanii wenyewe kujiingiza kwenye timu.
3.Wasanii kutokufanya promo ya kutosha.
4.Mashabiki kutokusikiliza vitu vingine zaidi ya kutoka kwenye timu zao.
Acha uchokozi,wewe uwezo wako ni ku photoshop tu picha hizi mambo za muziki HUZIWEZI. wimbo una miezi 2,una viewers 5,317,881 INAONGOZA REKODI ZA AFRICA KWA KUTAZAMWA SANA,PENGINE ITAPITWA NA SALOME YENYE MILIONI 3 NDANI YA WIKI 1.Kidogo by Diamond na P square.
Nao umebuma, kubali kataa...
Mwambie ni nyimbo kali sanaaa, tena sanaaa haswa verse ya baraka na byser Babylon biz. Sijui kwa nini hawajaufanyia promo na kichupabaraka anajua kuimba sana ila asingeegemea kwenye timu yoyote ili apate fan base
mimi shabiki wa domo sijifichi baraka ana nikera kumpaisha ally kiba hivyo karibuni atanipoteza na sipo peke yangu
kuna vitu hatakiwi kufanya hadharani kwa udogo wake
nyimbo kali iliyokufa ni mwambie ben pol ft baraka da prince
ben pol ulaumiwe kwa nyimbo hii
Ni kweli hiyo nyimbo ni nzuri sema hawakuipromote wakaiacha iende yenyewe ikafeliMwambie ni nyimbo kali sanaaa, tena sanaaa haswa verse ya baraka na byser Babylon biz. Sijui kwa nini hawajaufanyia promo na kichupa
Sasa hapa huoni kama umeonyesha chuki binafsiHuo wimbo wa Baraka nisamehe ndo umebuma kwa aibu kubwa.. Dogo amekuja mjini juzi tu hapa mara anaanza dharau kisa ana demu mweupe!!! Jinga sana dogo huyu naona wananchi wameamua wamuonyeshe kuwa hawataki ujinga ujinga!!
lol pop na gozbert goodlucky ni watu wawil tofautiBaraka Na mo music.wakamuombe msamah lol pop wamuombe awaandikie tena.
huo wimbo ni mkali sana na unamashairi yaliyokwenda shule KALA JEREMIAH hajawahi kutoa ngoma mbaya aiseeNamba 8 ya kala jeremiah - wanandoto ni nzuri sana, video yake ni nzuri sana, ujumbe wake mzuri sana, mtaani inakubalika sana na bado kwenye media inafanya vizuri sana