Wasanii 10 wanaoongoza kwa pesa nchini India

enzi hzo kama hujaona kuchi kuchi, andhaa kanoon, basi we umepitwa na mengi
Hahah kuna movie nyingine inaitwa KARAN ARJUN ya shunsheti na Akshei (mniwie radhi Najua majina yao hayaindikiwi hivo , mm sio muhindi)bonge la movie kwa miaka hio
 
SRK a.k.a fundi, my name is khan ndo filamu bora kuwahi kuitazama ikifuatiwa na raaz 3 ya emran hashmi
Dahh iyo raaz 3 n noma kuanzia movie hadi nyimbo zke me kwa emraan hashmi uniambie kitu movie zke nazielewa sana kuanzia murder, murde2, jannat, shangai jamaa kwangu ndoo best actor akiigiza movie za mapnz katendwa unahisi ndo ww demu kakumwaga
 
Hahah kuna movie nyingine inaitwa KARAN ARJUN ya shunsheti na Akshei (mniwie radhi Najua majina yao hayaindikiwi hivo , mm sio muhindi)bonge la movie kwa miaka hio
Karan Arjun wako Salmaan Khan na Shah rukh khan,hiyo ya ya Sunil Shety na Akshay inaitwa Mohra na nyingine nimesahau
ila My best movie kutoka kwa Salman Khan ni TERE NAAM, daahhh
Tere naam mi mchozi ulintoka sana pale salmaan anarudi tena kule kwa machizi,mi bwana hisia zangu za mchozi zipo karibu sana
kuna moja inaitwa ghajini ya aamir khan, ukiipata muda icheki dadaake hutojutia
Yes Ghajini ndo ameigiza na huyo mdada jia khan aliyejiua
iko vizuri sana ile
Inaandikwa "Teri meherbaniyan"
yes binamu uko vzr kumbe dooh!hvyo hvyoi
Naona picha la kihindi limehamia hapa.
Wadau mnatiririkaaaa....
Duh,ngoja niitafute hiyo Sholay nilie na mimi maana kwa kulia ndio mwenyewe.
iangalie is a good movie Ila ndo utulie maana wahindi bwana movie zao haswa za kitambo 3hrs na maudhui yake utayaelewa bàadae sana!
 
Dahh iyo raaz 3 n noma kuanzia movie hadi nyimbo zke me kwa emraan hashmi uniambie kitu movie zke nazielewa sana kuanzia murder, murde2, jannat, shangai jamaa kwangu ndoo best actor akiigiza movie za mapnz katendwa unahisi ndo ww demu kakumwaga
hahahh ndo hivyo mkuu, kuna nyingine inaitwa table no 21, umeiona hii?
 
Ameigiza na Aryana Khann kama fan wake.
Fan alikuwa anampenda sana ila ndo akakosa nafasi na kwa hasira yakatokea ya kutokea.
Itafute peterchoka.....ni movie nzuri sana, sana.
Haichoshi kuangalia...nzuri
ahsante madame pia kaangalie billu barber ya srk na lucky ya sanjay dutt, weekend yako itakuwa poa sana
 
Ahsante kwa kutujuza..

Mie si mpenz wa movie, hasa za kihindi, ila bahat mbaya naangalia, huyo mzee wa kuch kuch ht hae hatar, namkubali, ila kwangu akshay kumar nampenda zaid, hasa movie za mapigano, akiekt uchiz anakuwa kama punguani..

3 idiots hyo movie, inaweza ikawa movie bora kwangu ktk movie za kihindi nilizobahatisha kuzitazama miaka ya karibuni, inafurahisha si utani.

Saif ali khan kwa sasa sidhan kama ana mpinzan kwa movie za action action...
 
kiongozi kama unampenda akshay tafuta special 26 hutojutia
 
Hyoo King of the hearts nimeipenda kweli,...krish nzuri sema naona kama nimechelewa kuianza hv.
Ooh endelea tu kuifatilia na krish, haijaanza muda mrefu sana, more is yet to come. Nampendaje Pintu Singh, he is such a sweet bad boy lol[emoji85] [emoji85]
 
Amir khan kazaliwa 1975? Hivi unajua amir khan alianza. Kuwa maarufu hata kabla ya sharukh Khan mwanzoni mwa miaka 1990. Dada angalia tarehe zako vizuri.
Yeah wote wamezaliwa mwaka 1965
 
Ooh endelea tu kuifatilia na krish, haijaanza muda mrefu sana, more is yet to come. Nampendaje Pintu Singh, he is such a sweet bad boy lol[emoji85] [emoji85]
Haha don't feel [emoji85] coz u lv him " nitaanza kuichek maana naielewa navyopitishaga macho 2 bt nilkua nakaza isiniteke [emoji1]
 
Shahrukh Khan hana mpinzani.
Jamani huyu baba nampenda mnooo!
Wapi Sunil Shety?Sun Deo?
Mimi sio mfuatiliaji wa movie za kihindi sana.
Ukipata wasaa tuandalie list ya Wakorea mkuu...
Asante.
haha sunil shetty wa kitambo sanaa...

habari ya mjini Ni salman na amir khan ambao wanaongoza Kw Blockbusters kule Bollywood
 
salman khan...

napenda hizi movie zake Judwaa, Tere naam, Mujhse Shadi karogi
 
ahsante madame pia kaangalie billu barber ya srk na lucky ya sanjay dutt, weekend yako itakuwa poa sana
Hivi Kwich Kwich Hotae ando ameigiza huyu eeee.

Hiyo unayosema sijawahi kuiona, halafu ushaiona Alone?
Pacha 2, mmoja anamuua mwenzie?
Kaitafute
 
Dahh iyo raaz 3 n noma kuanzia movie hadi nyimbo zke me kwa emraan hashmi uniambie kitu movie zke nazielewa sana kuanzia murder, murde2, jannat, shangai jamaa kwangu ndoo best actor akiigiza movie za mapnz katendwa unahisi ndo ww demu kakumwaga
Hivi katika hiyo list, hakuna aliyecheza movie ya Vishwatma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…