Wasanii 5 Wa Tanzania Wenye Pesa

Namba moja ni billionaire na ni mwanamichezo, the rest ni millionaires na ni wasanii.

Still inspiring tho, no doubt.
 

Kweli hawa nao waingizwe pia.
 
Hii orodha haija-balance dini na makabila makubwa, siungi mkono hoja!
 
Hii list ni kwa mujibu wa chanzo gani? Mtu pekee kati ya hao unayeweza kupata kipato chake na faida baada ya makato mbalimbali ya kodi ni Hashim tu, hao wengine ni urongo mtupu na hakukna data zozote zinazoweza kuthibitisha vipato vyao!!!! Sijaona "maprodyuza" walioanza kujikusanyia ngawira toka hao uliowabandika hapo hawajaacha kunyonya maziwa ya mama! Na unapoongelea "wasanii" haimaanishi waigizaji na waimbaji tu, kuna watu wengi umewasahau au hauwajui kabisaa!
 
kama hashim ni msaniii... basi sikujua kuwa akina messi,c.ronaldo,henry, bekham nk ni wasanii kama akina jlo, mariah carey,rkely nk
 
Hashim sio msanii,ni mwanamichezo unatakiwa umuweke kwenye orodha ya wanamichezo tajiri tanzania apambane na kina mbwana samata,henry joseph,mrisho ngasa,kina juma kaseja etc,mwanadada jide ndio msanii wa kizazi kipya ukiongea kwa mbali tunakuckiliza anaweza waongoza wenzie kuwa na band,studio,mgahawa,maji yake mwenyewe kibongobongo sio kitu kidogo
 
Hapa kilichobaki kwa Hasheem ni kuwa mfanya biashara maana timu yake imesitisha kumsajili tena kutokana na useless wake uwanjani.
 
Jide anamfikia John Komba?
 
Tonya tym sijamuona!!!au kwakuwa Matonya pesa yake nyingi haipatikani katika mziki??????fuatilia tour yake ya sasa ya ulaya nchi anazoenda na bei ya mambo flani huko ndo utajua Tonya tym anapata pesa kiasi gani!!!!
 
Duh! Sikulifaham hili. Kumbe kuna wasanii wa bongo wenye pesa kiasi hiki
 
siri ya mtungi aijuae kata
 
Naona Hii List haiko Sawa, wametumia Kigezo gani? Kuna ambao wamesahaulika..mfano mkubwa ni Muimba Taarab..Bi ZUHURA SHAABAN anaishi Zanzibar...Huyo Mama anamiliki Gari Tatu,Rav 4 New Model,Prado Mpya kabisa na Hammer...anamiliki Nyumba tatu..Moja ya Ghorofa na Kiwanja Ufukweni...Ni Mwimbaji na Mfanyabiashara Wa Nguo..Mbona Simuoni Hapa?Komba Wapi?
 

Attachments

  • zuhura[1].jpg
    15.8 KB · Views: 107
Wale wasnii wa kule bungeni mumewasahau mbona?
 

RIP Kanumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…