Gold Addict
Senior Member
- Sep 5, 2011
- 150
- 42
mzee yusuph wa jahazi vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kucheza Basketball nako ni Usanii Hapa Naona Mkuu umethibitisha kutokufanya vyema kwa Hasheem ndani ya NBA ni usanii Tosha...
Hasheem wacha Usanii Cheza Kikapu kwa bidii Siku hizi hata sisi hatukutizami kwenye Game zenu mnazocheza tunaendeleza kuwatizama kina Kobe tu no Usanii kwenye Sports Game...
Hivi wanasiasa sio wasanii! rostam aongezwe humu na riz1
where is mange?
Ingependeza sana kama wasanii hawa na wengine wangeungana wakaipiga jeki Bajeti ya serikali ambayo kila kukicha inayumba
where is mange?
Jide anamfikia John Komba?Hashim sio msanii,ni mwanamichezo unatakiwa umuweke kwenye orodha ya wanamichezo tajiri tanzania apambane na kina mbwana samata,henry joseph,mrisho ngasa,kina juma kaseja etc,mwanadada jide ndio msanii wa kizazi kipya ukiongea kwa mbali tunakuckiliza anaweza waongoza wenzie kuwa na band,studio,mgahawa,maji yake mwenyewe kibongobongo sio kitu kidogo
unatania au ndio upeo wako wa kufiri huu?
siri ya mtungi aijuae katalady jay dee ni mfano wa kuigwa kwa akina dada. Kwamba kila kitu kinawezekana na si lazima ubebwe. Ni kukomaa tu. Ukiacha thabeet ambaye nawezeza nisimhesabie kwa kuwa yuko marekani na ndiko alikopata hizo pesa, lady jay dee ndiye ambaye amefunika.
Kaza buti mama, hakika wewe ni komandoo wa kweli.
Kumbe sugu sio msanii!
Kwa habari ambazo kiukweli sina uhakika nazo sana eti Bongo Movie Super Star Steven Kanumba amefariki Dunia usiku wa Ijumaa kuamkia J'mosi. Na mwili wake unapelekwa Muhimbili kuhifadhiwa.
More updates to follow...
- JF has confirmed his death
- Source of his death unconfirmed
- Taarifa ambazo hazijathibitishwa ni kwamba Kanumba alianguka na kuumia kichwani baada ya mpenzi wake ambae anatajwa kuwa ni mwigizaji LULU kumsukuma na kuanguka wakati wanagombana.
‘Inasemekana' Kanumba wakati akijiandaa kutoka saa sita usiku aliingia bafuni kuoga, alipotoka alimkuta Lulu akiongea na mwanaume mwingine kwenye simu ndipo alipokasirika na ugomvi kuanza.- Lulu ameshikiliwa Polisi Oysterbay, inadaiwa ana majeraha pia.
- Mwili wa marehemu uko katika chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya Muhimbili.