Wasanii ambao hawajui kuimba kabisa lakini bado wanalazimisha kuimba

Wewe inaonekana jua limeshaanza kuzama. Katika hao uliowaorodhesha mtake radhi AY, Vanessa Mdee, Mr. Blue Jux na Young Dee.


Wote niliowataja ni fake musicians, labda hujuwi tu muziki unashabikia kitu usichokijuwa. Jux anaimba nini, he's too fake hata kufollow beats aimbapo hajuwi....msikilize vizuri. Narudia, hakuna msanii wa bongo fleva ambaye anajuwa kweli kuimba, wanabangaiza tu na bahati mbaya wamepata watu wasiojuwa muziki kuwasupport.
 
Lava Lava anajua kuimba ila hana mwalimu wa kumuandikia mashairi,kama unanisoma hapa lava lava mwambie huyo mwalimu awe makini kutunga mashairi....sio ''natamani uwe kichekesho tuchekeshane'' lol
 
Na like hapo kwa mchovu hawa mastaa bwana akiona anakubalika na wengi anahisi kila jambo anaweweza fanya.
 


Wasanii wote wa bongo fleva ni fake, hakuna anayefaa. Basata iingilie ndani na kuwafungia wote kwani wanaharibu fani ya muziki wa Tanzania.
 
Lava Lava anajua kuimba ila hana mwalimu wa kumuandikia mashairi,kama unanisoma hapa lava lava mwambie huyo mwalimu awe makini kutunga mashairi....sio ''natamani uwe kichekesho tuchekeshane'' what the fcuk?lol
Natamani uwe nin????

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Narudia tena. Jua limeshazama hunaukijuacho kuhusu muziki. Na bahati mbaya upo na ambao hawajui muziki. Unataka watu waimbe kama miaka ya 70.? Jaribu kubadilisha fikra zako then ukamsikilize tena. Kuna kitu utakipata
 
songa nikki mbish one p the mc stamina wote hao af unasema nn ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…