Wasanii ambao wapenzi wao hawajulikani


Aiseee!!!
 
Diamond pia Hana kashfa wala scandal
 
Millard ayo alikuwa anatembea na vanessa mdee

ben paul nadhan.aliwahi kumtaja.. Jina nimesahau


mtoa mada ungesema hv.. Kwamba pamoja na hao kuwa maarufu ila hawana skendo za kubadilisha ovyo wapenzi kama kulinganisha na wema.. Diamond.... Jokate n.k
 
Mie cjawah sikia wala muona dem wa Prof Jay,jaman mwenye info juu ya huyu jamaaa aziweke hapa


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨

Mbna ameoa na ana mtoto... Ingia akaunt yake ya insta
 
Hupati mimba wala ukimwi ukiwa na mimi! duh hiyo kaulimbiu ya salama kiboko! mbona watu wanakuwa wabunifu kwenye mambo ya kumchukiza mungu?
 
watoe kwenye hiyo list adam mchomvu,millard ayo na b twelve. kama ni mtu wa kushinda viwanja utawaona sana na bebez zao
 
Hiyo ya dj Fetty kutoka na Geez Mabovu imeniacha hoi. Anyway r.i.p shemeji
 
huyu rhemtulla models wote wale asipitishe hata kwa mmoja kha!
 
Jamani na hayo madume yanayo tovugwa si yanawapenzi wao ? watajeni basi hao watovugaji wenzao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…