Wasanii ambao wapenzi wao hawajulikani

Wasanii ambao wapenzi wao hawajulikani

sasa hv ni ngumu maana salama ni lesboo full
alikua anamtongoza denti fulani pale jangwani tukisimama fire kituoni anamfata kumuimbisha
na kuna dada alikua na saloon kinondoni maarufu tu alikua anamfukuzia sana mpaka mdada alikua analia ana sera yake HUPATI MIMBA WALA UKIMWI UKIWA NA MIMI
na amefundishwa mchezo na yule mtoto wa dr..machache kipindi anaanza kazi maana yule bosi ndo michezo yake

Aiseee!!!
 
Millard ayo alikuwa anatembea na vanessa mdee

ben paul nadhan.aliwahi kumtaja.. Jina nimesahau


mtoa mada ungesema hv.. Kwamba pamoja na hao kuwa maarufu ila hawana skendo za kubadilisha ovyo wapenzi kama kulinganisha na wema.. Diamond.... Jokate n.k
 
Mie cjawah sikia wala muona dem wa Prof Jay,jaman mwenye info juu ya huyu jamaaa aziweke hapa


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨

Mbna ameoa na ana mtoto... Ingia akaunt yake ya insta
 
Hupati mimba wala ukimwi ukiwa na mimi! duh hiyo kaulimbiu ya salama kiboko! mbona watu wanakuwa wabunifu kwenye mambo ya kumchukiza mungu?
 
watoe kwenye hiyo list adam mchomvu,millard ayo na b twelve. kama ni mtu wa kushinda viwanja utawaona sana na bebez zao
 
Hiyo ya dj Fetty kutoka na Geez Mabovu imeniacha hoi. Anyway r.i.p shemeji
 
huyu rhemtulla models wote wale asipitishe hata kwa mmoja kha!
 
Jamani na hayo madume yanayo tovugwa si yanawapenzi wao ? watajeni basi hao watovugaji wenzao!
 
Back
Top Bottom