Wasanii ambao wapenzi wao hawajulikani

ukiona watu wanficha wapenzi wao,

ujue hao either ni malava lava,

ama, wanaogopa kuchapiwa na wanaowazidi mbinu za medani..

Pia hawapendi maisha yao binafsi yawe exposed
 
Ila nyepesi nae ana demu wake wazamanii anaitwa Jackie kamasikosei na bado wapo huyo atakuwa mchepuko wake.

Mh ndo kajiweka apo , nasikia kamnunulia mkoko wa maana hadi kigoma katambulishwa soon tutasikia dada huyo anaolewa
Cc: #kantangaze
 

Binamu yangu kwa ma breaking news nakuaminia lol
kama Dautch velle, kama aljazeera......
 
naomba kujua demu wa kaseja!" mana nackia nae ni wale wale.
 
Sasa tatizo liko WAP
kwani kuvuta Bangi kunahusiana nn name hisia labda ndo taste same na
zinampiga mzigo fresh kama we unamind hao masharobaro fresh tu ila
usiseme anachukuliwa na wavuta Bangi utadhani kuvuta Bangi ni ishu
kuubwaa
mbona watetea majani au weye pia walipuliza nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…