Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya sasa mwenye kuifahamu couple ya mzee wa fursa Ruge Mutahaba a.k.a thinking tank ashukeee coz kuna uvumi hapa mgodini block d kuwa jamaa huwa anakula mayai yake
Hivi hao nao maarufu kweli?
Hiyo namba tano, una utani?
JF Is in transition era.
1. Martin Kadinda
Ni mwanamitindo maarufu apa
bongo, na anayefanya vizuri kwenye
tasnia hiyo, pia ni manager wa
wema sepetu. Huyu amekuwa
akipiga picha na warembo tofauti
tofauti , ila haijawahi kuripotiwa
popote mrembo anayetoka nae ata
kwa kupakaziwa.
2. Salama Jabir
Huyu ni mtangazaji wa mkasi TV
show, mbali na muonekano wake
wa kuvutia ila hadi Leo haijawahi
kuripotiwa mtu anayemmliki hata
kwa kusingiziwa.
3.Ben Pol
mwanamuziki classic wa bongo
fleva, achilia mbali muonekano
wake wa kuvutia , naye mpaka Leo
mpenzi wake hajulikani, na wala
haijawahi kuripotiwa popote kama
ana mpenzi au la.
4. DJ Fettty
Huyu ni mtangazaji wa clouds FM,
ana sura na umbo la kuvutia , ila
hadi Leo haijulikani mtu anayekula
mzigo nani, japo kwa kusingiziwa
5.Millard Ayyo
Mtangazaji machachari kutoka
clouds FM, pamoja na utanashati
wake ila haijawahi kuripotiwa
popote kama yupo kwenye
mahusiano na haijulikani mpenzi
wake ni nani
6. B 12
Huyu kama ilivyo kwa Millard,
hajawahi kuhusishwa na scandal
yeyote ya kuwa kwenye mahusiano
ya kimapenzi, haijulikani kama
yupo au la.
7. Adam Mchonvu
huyu pia hajawahi kusikika au
kuhusishwa na mahusiano ya aina
yeyote.
8.Ally Rehmtulah
Mbunifu wa mavazi, naye huyu
hajawahi kuhusishwa na wala
haijuilikani kama ana mpenzi au la.
umemsahau MUSA WA HUSSEIN
Hiyo list yote ulowataja mbona nanii wote hao.....
Umemsahau ZITTO KABWE. PROF. LIPUMBA NA DR. SLAA WA CHADEMA