Wasanii ambao wapenzi wao hawajulikani

Wasanii ambao wapenzi wao hawajulikani

Huyo namba moja mhhh inasemekana ni naniluuuuu eti...
Namba 2 na 4 wote hao ni ma tomboy..
 
Demu wangu lisa jensemi anatembea na nani jamani mana nimemkuza uyo kabla hajawa maarufu
 
ben pol mbona mpenzi wake alimwanika juzi juzi tu hapa, kwenye kipindi cha planet bongo na mjuu wa wambua, tena demu miss miss hivi kama skosei
 
hata.mimi am curious kujua demu wa millard,
alafu kuna mtu kama jo makini huyu mutu wa arusha vipi nae??
 
Hahaaa umenichekesha ulivyoguna, nakumbuka hivi karibuni alisema anatamani na yeye kupata mtoto.
hahahahaa umeona huo mguno wa warumi unaongea mengi, hivi si amuombe jaydee amwagizie anae mmakeup siku hizi coz hiyo transformation jaydee aliyofanyiwa hata kwa mwasiti yawezekana.
 
Last edited by a moderator:
Mrisho mpoto,Kalapina na chiku keto Sijajua wapenzi wao.

Mwenye picha ya mke wa shetta.Naskia mkali.

Dah Geez mabovu na fetty.Design gangster luv.Hahahaa!

yeah, ni murembo kwa kwelitafuta kwa youtube vipindi vya planet bongo utaona kipindi cha shetta na mkewe yumo
 
Hotee naona mnapiga stori. Salama jbiri sijapata stori yake mana naona bora angeumbwa kama mimi. Jabari la kiume kwani hayupo kwenye lile jinsia aliloumbwa nalo

huyu nae huwa ananitatiza kwa kweli, hujiuliza hivi alishawaza kuwa na mtoto kweli???
 
Salama alimuweka ndani mke wa kinje kale kabinti kadogo alikokaoa, salama alimkoleza had demu kakimbia kwa mume wake akahamia kwa salama, jamaa akamaind sana akaona kadhalilishwa kuzidiwa ujanja na mwananmke , ikabdi aende kushtak kwa wazazi wa mwanamke, demu akarudishwa kwa mume jamaa ikabidi amwamishe wife south Africa amkwepe salama, chezea kistuli jabir

shikamoo warumi
 
Mwasit anatok na mh nyepesi

hakunaga kwenye harusi ya muheshimiwa nani sijui iliyofanyika juzi juzi hapa hukumuona nyepesi na kademu kashombe shombe?? tena anafanya kazi kwenye ubalozi wa uholanzi.
 
Back
Top Bottom