Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana wa kiislamu anaimbamuziki 😄Bila kumung'unya maneno,
Hii trend ya hawa wasanii wetu hasa wa muziki wa kizazi kipya kupush hili suala la ushoga lionekane la kawaida tusipolipigia kelele itafika siku jamii nzima itaharibika na tutakosa wa kumlaumu. Najua kwa wasanii sometimes mnalazimika kusukuma hizi ajenda pasipo wenyewe kupenda ila mkae mkijua hili suala lina athari mbaya sana katika jamii ambayo nyinyi pia ni sehemu yake.
Leo namuonelea kijana kutoka WCB WASAFI, Mboso. Huyu bwana mdogo kwenye video yake aliyoiachia leo kuna nguo ameivaa ambayo bila kupepesa macho anafahamu hasa kwanini ameivaa (kuunga mkono harakati za mapenzi ya jinsia moja). Hii sio bahati mbaya na sio kwamba hajui ni makusudi na amefanya vile akijua ile video ilikua ikisubiriwa kwa hamu na watu wengi akaona/ wakaona wapachike na hii messege ya ushoga. Mboso wewe ni kijana wa kiislam na unajua hilo suala halikubaliki hata kidogo. Muombe Allah S.W akusamehe na kama umelazimishwa kufanya hicho kitu muombe sana Allah akuepushe na hiyo mitihani. Kwa wewe ambao utaona nilichokiandika hapa ni ushamba kwamba mbona ni vitu vya kawaida na pia wewe MOD utaefuta huu uzi wait atokee shoga among your family member ndio utajua ubaya wake.View attachment 2289158
Tema mate chiniNISEME TU NAMUHESHIMU SANA MSANII ALIKIBA, KAJITENGA NA WATU HAWA.
Mtu kuwa muislamu sio tiketi ya yeye aishi kama Waislamu wanavyotakaBila kumung'unya maneno,
Hii trend ya hawa wasanii wetu hasa wa muziki wa kizazi kipya kupush hili suala la ushoga lionekane la kawaida tusipolipigia kelele itafika siku jamii nzima itaharibika na tutakosa wa kumlaumu. Najua kwa wasanii sometimes mnalazimika kusukuma hizi ajenda pasipo wenyewe kupenda ila mkae mkijua hili suala lina athari mbaya sana katika jamii ambayo nyinyi pia ni sehemu yake.
Leo namuonelea kijana kutoka WCB WASAFI, Mboso. Huyu bwana mdogo kwenye video yake aliyoiachia leo kuna nguo ameivaa ambayo bila kupepesa macho anafahamu hasa kwanini ameivaa (kuunga mkono harakati za mapenzi ya jinsia moja). Hii sio bahati mbaya na sio kwamba hajui ni makusudi na amefanya vile akijua ile video ilikua ikisubiriwa kwa hamu na watu wengi akaona/ wakaona wapachike na hii messege ya ushoga. Mboso wewe ni kijana wa kiislam na unajua hilo suala halikubaliki hata kidogo. Muombe Allah S.W akusamehe na kama umelazimishwa kufanya hicho kitu muombe sana Allah akuepushe na hiyo mitihani. Kwa wewe ambao utaona nilichokiandika hapa ni ushamba kwamba mbona ni vitu vya kawaida na pia wewe MOD utaefuta huu uzi wait atokee shoga among your family member ndio utajua ubaya wake.View attachment 2289158
PTUUUU!🤲Tema mate chini
Hiyo yupo na mchicha mmoja designer
Mkuu Dewji tena?Alafu si washangae,mbona Biden,putin,Musk hata Dewj hawavai hizi uchafu!
Freemason wanahusika vipi na hawa vijana kuliwa gololi?freemason wamewekeza sana kwenye media, wasanii na Agendas za wanawake.
Hawa watu wako pale kusambaza utamaduni huu, amin kupitia nyimbo za hawa na ushawishi wao,miaka 7 ijayo zitakuwa zikifanyika sendoff na kitchen party za wanaume wanao olewa.
Sherehe nyingi za wasanii zinatoa mialiko ya kipekee kwa hawa watu.
Sehemu ya masharti ya chama...usifikiri wanapenda kufanya ivo..ni maagizo ya chama...Freemason wanahusika vipi na hawa vijana kuliwa gololi?
Sijaelewa aisee kavaa nini cha kike hapo?Bila kumung'unya maneno,
Hii trend ya hawa wasanii wetu hasa wa muziki wa kizazi kipya kupush hili suala la ushoga lionekane la kawaida tusipolipigia kelele itafika siku jamii nzima itaharibika na tutakosa wa kumlaumu. Najua kwa wasanii sometimes mnalazimika kusukuma hizi ajenda pasipo wenyewe kupenda ila mkae mkijua hili suala lina athari mbaya sana katika jamii ambayo nyinyi pia ni sehemu yake.
Leo namuonelea kijana kutoka WCB WASAFI, Mboso. Huyu bwana mdogo kwenye video yake aliyoiachia leo kuna nguo ameivaa ambayo bila kupepesa macho anafahamu hasa kwanini ameivaa (kuunga mkono harakati za mapenzi ya jinsia moja). Hii sio bahati mbaya na sio kwamba hajui ni makusudi na amefanya vile akijua ile video ilikua ikisubiriwa kwa hamu na watu wengi akaona/ wakaona wapachike na hii message ya ushoga. Mboso wewe ni kijana wa kiislam na unajua hilo suala halikubaliki hata kidogo.
Muombe Allah S.W akusamehe na kama umelazimishwa kufanya hicho kitu muombe sana Allah akuepushe na hiyo mitihani. Kwa wewe ambao utaona nilichokiandika hapa ni ushamba kwamba mbona ni vitu vya kawaida na pia wewe MOD utaefuta huu uzi wait atokee shoga among your family member ndio utajua ubaya wake.
View attachment 2289158
Kwahiyo na ule upinde wa mvua unaotokea angani ni nn?Yenye rangi za upende wa mvua.
Usilolijua, au kwakua hajawahi kuonesha hadharani?NISEME TU NAMUHESHIMU SANA MSANII ALIKIBA, KAJITENGA NA WATU HAWA.
Yaan Dear watu wamevurugwa mnoooo, kila kitu ni ushoga khaaaah.Ushoga mnao nyie kwenye vichwa vyenu, sasa hivi kila rangi ni ushoga,
Mtapata wazimu sababu watu wanapenda nguo za rangi rangi siku hizi