Wasanii Bongo Fleva na ajenda za ushoga

Wasanii Bongo Fleva na ajenda za ushoga

Sehemu ya masharti ya chama...usifikiri wanapenda kufanya ivo..ni maagizo ya chama...
Kama sehemu ya ibada I return nao wanapewa wanachotaka kama vile mauzo ya nyimbo.. trending...mvuto wa juu.collabo za nje ambazo ziliwashinda akina ferooz na juma nature 🤣🤣....kuwa nominated kwenye tuzo kubwa kubwa...
Freemason hawahusiki na hao jamaa kuliwa gololi labda useme imani zao zingine tu za giza ila Freemason msiwasingizie.
Hizo mambo za masharti sijui ni chai iliyolala, haiingii akilini.
 
Bila kumung'unya maneno,

Hii trend ya hawa wasanii wetu hasa wa muziki wa kizazi kipya kupush hili suala la ushoga lionekane la kawaida tusipolipigia kelele itafika siku jamii nzima itaharibika na tutakosa wa kumlaumu. Najua kwa wasanii sometimes mnalazimika kusukuma hizi ajenda pasipo wenyewe kupenda ila mkae mkijua hili suala lina athari mbaya sana katika jamii ambayo nyinyi pia ni sehemu yake.

Leo namuonelea kijana kutoka WCB WASAFI, Mboso. Huyu bwana mdogo kwenye video yake aliyoiachia leo kuna nguo ameivaa ambayo bila kupepesa macho anafahamu hasa kwanini ameivaa (kuunga mkono harakati za mapenzi ya jinsia moja). Hii sio bahati mbaya na sio kwamba hajui ni makusudi na amefanya vile akijua ile video ilikua ikisubiriwa kwa hamu na watu wengi akaona/ wakaona wapachike na hii message ya ushoga. Mboso wewe ni kijana wa kiislam na unajua hilo suala halikubaliki hata kidogo.

Muombe Allah S.W akusamehe na kama umelazimishwa kufanya hicho kitu muombe sana Allah akuepushe na hiyo mitihani. Kwa wewe ambao utaona nilichokiandika hapa ni ushamba kwamba mbona ni vitu vya kawaida na pia wewe MOD utaefuta huu uzi wait atokee shoga among your family member ndio utajua ubaya wake.
View attachment 2289158
Mtueleweshe na sisi ni nguo ipi hapo inaashiria ushoga?
 
Taasisi husika ipo likizo! Hongera sana kwa kuliona hilo. Hatuwezi kumchekea mamba, ilihali naye anacheka. Madhara yake ni makubwa sana kuna siku tutashindwa kujua asili ya tamaduni yetu ni ipi.
 
Hii agenda unaeisambaza ni ww mleta uzi.

Watu kibao hawajaelewa ubaya wa hiyo picha mpaka mmeanza kuwafafanulia na si ajabu hawajaelewa ubaya wa hizo nguo za rangi rangi.

Mtoto gani anaelewa maana ya hizo rangi za upinde wa mvua?? Kama haupo kwenye hayo mambo si rahisi kuelewa kitu kuhusu hilo labda uwe mmoja wao ama mfatiliaji mzuri.

Mboso kama ni mmoja wa machoko basi kafikisha ujumbe kwa machoko wenzie sisi tusio machoko huo ujumbe hautuhusu.
Angali video enjoy basi, na imani watu kibao hawajaweka akilini hiyo ishu, hata mm wala sikuiwazia mpaka nimeukuta huu uzi wako hapa.
 
[emoji23][emoji23] Baada ya kupitia huu uzi nimegundua kuna watu wanafiki aisee yaani mtu anaona dhambi fulani ni bora kuliko fulani na wakati zina uzito sawa.

Nilitarajia ukemee na muziki kabisa da'awa ianzie kwa waimba muziki wakubwa ambao kwa asilimia kubwa ni waislamu.
Acha ujinga ww, tatizo huondolewa moja baada ya jingine, ameanza na na hilo la kwanza, likiwa solved litafuata jingine kupata utatuzi.
 
Sehemu ya masharti ya chama...usifikiri wanapenda kufanya ivo..ni maagizo ya chama...
Kama sehemu ya ibada I return nao wanapewa wanachotaka kama vile mauzo ya nyimbo.. trending...mvuto wa juu.collabo za nje ambazo ziliwashinda akina ferooz na juma nature [emoji1787][emoji1787]....kuwa nominated kwenye tuzo kubwa kubwa...
Wewe ushawahi kuwa freemasons?? Maana kwa ushuhuda unaotoa utasema na wewe ni mwanachama mstaafu, acha kusimulia ulichosimuliwa kwa watu ambao nao wamesimuliwa
 
Tazameni huyu...

Unashindwaje kusimamisha ukimuona live
1657778340433.jpg
 
Basi hata wamasai na wagogo nao ni machoko?si wanavaa hereni
Kwahiyo tuwaige uliyowataja wawe role model wetu?
Nikukumbushe kuwa kuna baadhi ya mila ni nzuri lakini nyingine hazifai kuigwa na hata wanaoziendeleza ikitokea umekaa nao waelimishe waziache.

Mfano,kukeketa,kurefusha masikio n.k ni mambo ya asili kwa baadhi ya jamii.Je,tuyaendeleze eti kisa ni asili yao??
 
Na lengo lake limetimia alikua anataka kuanzishiwa thread kama hivi
 
Sidhani kama upo sahihi,
Hii ndo inaitwa kupuuzia mambo,na ukweli hali hii tunayosana watanzania.
Mbona kanisa,miskiti(hapo mwanzo) ilikuwa ikipinga matumizi ya kondomu,kwani walokuwa wanazuia walikuwa wakizitumia pia?
Mbona ukikutwa na madawa/bangi unakamatwa,basi usikamatwe kisa anayeenda kukukamata hajawahi tumia?
Plse leta hoja yako kwa njia nyingine!
 
Back
Top Bottom