Ni kama zilivyo tamthilia mfano bongo movie,director ndie anaejua maudhui.
Lengo kuu la tamthilia zote za mapenzi ni kubomoa familia.
Panapo ndoa pana familia na penye familia pana msingi, tamthilia nyingi zinapromote talaka na utengano, hazifundishi adabu, utii na heshima.
Lengo kuu la shetani juu ya talaka ni kuwawini watoto wakose misingi ya malezi,awavute kwenye ushoga, uteja, uchangudoa, nk. Lengo kuu la shetani ni kuibomoa duniani. Roho za ushoga zimeachiliwa kwa vijana ikiwemo mashuleni na mavyuoni, Ili kuuwa kabisa kizazi.