Wasanii Bongo Fleva na ajenda za ushoga

Ona ulivyokosa akili!!
Mimi sijawatetea ila kama nilivyosema mwanzo we jamaa ndie unaesambaza agenda za kishoga hapa. Kwani ukipuuzia unapungukiwa nini??

Hizi mambo zimekua kubwa hapa nchini kwasababu ya watu kama wewe. Jambo haliongelewi lakini wewe kutwa kucha kuhusisha kila jambo na ushoga.

Narudia tena lea watoto wako vizuri, mabazazi hawaijui hiyo mirangi, we endelea kuhangaika na video ya mbosso wafukue mtaro wa mwanao huko.

Muelimishe jinsi ya kujilinda na mabazazi na sio kumuelekeza upinde wa mvua wakati dogo anajua hizo rangi ni za Mungu wewe unasema ni za mashoga.
Mwambie awe mkali na nyeti zake, sasa ulivo zuzu utaenda kumuonyesha kikoti cha mbosso na kusema huo ndo ushoga shauri yako.
 
Yes rainbow ni God's creation.... Ila sababu wao wameamua kwamba wanaitumia hii kama nembo yao lazima tukemee waziwazi. Hivi hua hamsomi maandiko mkajua jinsi ushoga unavyokasirisha!? Kwanini mtu mzima uliye timamu unatetea ujinga?
Mkuu weee unashindwa kuelewa watu badala yake unaleta jazba zisizo na msingi.

Wadau wanachokipinga na kuona hakina maana ni kusema hizo rangi ni za mashoga yaani wanazimiliki.

Hatuupendi ushoga lakini hizo rangi ni za Mungu sio zao. Kwahiyo ule upinde wa mvua ni wao pia!??

Na njia sahihi ya kulipinga hilo jambo sio kama unavofanya wewe, kutukana watu walio tofauti na ww ila ni kujua tu hizo rangi sio zao.

Wewe ndie unaewamilikisha ndo maana hata Dokta Uchwara akapata mshaka na ww.
 
mkuu inaonekana mimi na wewe tupo kwenye two different sides of the coin na huelewi mimi ni nini nimekusudia hapa.

(1) kuna watu ambao wanafanyia watoto hivyo vitu na they don't care about campaign juu ya ushoga
, ni kweli na mimi sipingani na wewe

(2)kuna campain ambazo kazi yake ni kutetea ushoga pale ambapo unapingwa, kuexternalize ushoga pale ambapo haufahamiki

(3)kuonesha ufahari kwamba ushoga ni kitu kizuri na kwamba unasapot.

Anachofanya mboso ni kufaharisha ushoga na kwa sababu kuna millions of people ambao wanamfuatilia na 99% ni vijana kuna higher probability chance wakamuunga mkono na kua kama yeye na hapo kama taifa ndio tutaangamia.
 
Watu wanalipwa mpunga mrefu kupush hiyo ajenda mara wengine wavae sketi,hereni,vipini,mara rangi kwenye vidole,pink lipstick etc Yan balaa Mungu atulinde!
 
Freemason wanahusika vipi na hawa vijana kuliwa gololi?

Freemasonry wanapush agenda ya homosexuality and transgender,na sehemu ya ibada yao ni kuingiliana kinyume na maumbile so usishangae mond analiwa na kiba wakiwa hall pale posta...
 
Kwahiyo na ule upinde wa mvua unaotokea angani ni nn?
Hebu tujuze?

Huo upinde kwa jina la rainbow ni alama ya kusapoti u gay na transgender..hata kwenye ligi ya soka ya uingereza kitambaa cha kaptain sharti kiwe na rangi hizo ili kuonesha wako pamoja na wanasapoti watu wa aina hiyo.
 
Freemason hawahusiki na hao jamaa kuliwa gololi labda useme imani zao zingine tu za giza ila Freemason msiwasingizie.
Hizo mambo za masharti sijui ni chai iliyolala, haiingii akilini.

Inaonekana hujui chochote afu unabisha sana.
 

Kwani unamjua aliyefanya huo utafiti ni mwanasayansi gani???ukishampata mfanyie utafiti AFU NJOO NA JIBU NI MWANASAYANSI GANI MKUBWA HAKUWA FREEMASON?
 

Unaonekana unajua sana haya mambo tuungane kuandika uzi kuhusu haya mambo[emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji457]
 
Disgusting
 
Kwani unamjua aliyefanya huo utafiti ni mwanasayansi gani???ukishampata mfanyie utafiti AFU NJOO NA JIBU NI MWANASAYANSI GANI MKUBWA HAKUWA FREEMASON?
Mimi mwenyewe mwana sayansi.Hayupo mwanasayansi atakaye poteza muda kufikiria huu uupuzi.
 
Kuna punga moja humu tayari nishaliona kila coment inayotetea huu ushenzi lina like..... mkuu sat*****i ukiendelea kutetea huu ushetani nitakutaja hadharani hapa.
Sasa kwani kakwambia anaogopa kuwa utamtaja??
 
Kwanza anzieni kule Zenj,mashoga kibao,mpaka sherehe wanafanya.
Asilimia 99 ya Zenj ni Islam,lakini Kuna mashoga kibao,kama Kuna mashoga,then na mabasha wapo,na tunajua hii michezo ya kwa mparange imeanzia wapi,kuleeee arabia
 
Kwanza anzieni kule Zenj,mashoga kibao,mpaka sherehe wanafanya.
Asilimia 99 ya Zenj ni Islam,lakini Kuna mashoga kibao,kama Kuna mashoga,then na mabasha wapo,na tunajua hii michezo ya kwa mparange imeanzia wapi,kuleeee arabia
Ushoga uko dunia nzima, hauna asili, tofauti iliyopo ni mijini na vijijini, mjini ni rahisi kuwaona kwasababu miji inakusanya watu wengi mahala pamoja, hata minority wanaonekana

Vijijini wapo ila kutokana na uchache wao na ukaribu wa kijamii wengi wanaoishi huko wenye hali hiyo huwa ni wachache sana na hujificha sana ama uhama uko. Ila hakuna mji duniani ambao hauna shoga asilimia mia, hata Jerusalem na Mecca wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…