Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Kipindi cha kampeni wasanii wote mlikuwa upande wa CCM mkaanza kutukana wananchi eti tunalalamika sana tufanye kazi.
Baada ya uchafuzi wa 29 kuisha wameanza kutia huruma et nendeni youtube tukasikilize ushuzi, machawa Pro max, show za ndani zimebuma na bado wananchi hatutasiliza nyimbo zenu
Fanyeni kazi msitusumbue wananchi tuko bize kulikomboa taifa.