Pre GE2025 Wasanii kujiingiza kwenye siasa na kuwa machawa ipi faida yao kama nao wanashiriki kuingiza wananchi shimoni?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sio kweli ni mindset tu za wapuuzi wachache ndio zitaufikisha huku. Ingekuwa kila mtu anafanya hivyo sidhani hata jamiiforums ingekuepo leo
Swali kwanini huwa Kuna sera ambazo hazina muelekeo na zinakuwepo, tena kwa muda mrefu (uncertainty policies or conflicting policies)
 
Wasanii nao ni wananchi wana haki ya kufanya wanachoona kinawafaa ili mradi hawavunji sheria. Kama msanii anakukera mpotezee. Ninawapongeza sana wasanii wa Tanzania kuwa upande wa ushindi.
Yap, hata kuamua kuwa chawa wa SASHA nao ninuamuzi wa kidemocrasia tu.
 
Tanzania siasa in chuki ya kimya kimya usipo support chama tawala unaoitia magumu kwa hiyo inawalazima kufata upepo akitawala mwingine watahama
 
Every Roman Ceasar must feed his Gradiators who can entertain/disruct the Mass............ So Mama anajua anafanya nini
 
Hao wasanii hawajielewi kabisa

Hivi mtu mwenye akili timamu, unawezaje kukishabikia chama Cha CCM, ambacho kinatuhumiwa Kwa utekaji na kuua raia wasio na hatia??😭
tuhuma siyo hukumu
 
Sema wasanii wa Tanzania jau sana na wanazingua hii ni kutokana wengi wao kuwa na shule ndogo kichwani ila kusema ukweli Magu aka Jiwe mnamsingizia sana haya mambo ya CCM kutumia wasanii yalikuwepo hata wakati wa kikwete
Kwa Magu ilikija kivingine, yani usipojishobokea kwa Magu unafilisiwa au kushughurikiwa. Ni mbaya sn
 
Huji kuwa wanasiasa wa Tanzania ni wasanii? Utawatenganishaje wasanii na wanasiasa?
 
Wakuu salam,

Tumekuwa tukiona wasanii wakitumika kwenye kampeni na kujiingiza kwenye shughuli za kisiasa ambao karibuni imekuwa too much. Huko nyuma CCM walikuwa na bendi yao ikiongozwa na Hayati Kapt. Komba, kidogo kidogo wasaanii wakaanza kuingizwa kuburudisha, kwa Hayati Magufuli ndio ikawa kama usimikwaji rasmi ya Wasii kuwa chawa.

Wasanii makundi kwa makundi wakanyoosha moja kwa moja CCM na kidogo wakaenda kwa wapinzani.

Tukumbuke wasanii wananguvu kubwa ya ushawishi hasa kwa watu ambao hawajaelimika na kufuata mkumbo ambao ndio wengi. Akimuona tu Diamond anaunga mkono juhudi, au yuko kwa wazee wa babadiliko hata hafakirii mara mbili naye anakuwa chama husika, msanii huyo akipotosha taarifa fulani ni rahisi sana kwa wananchi huyu kukubaliana na alichosema.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mpoto akaanza vizuri na mjomba lakini ukiangalia sasa hivi ni takataka, yaani yeye na Mwijaku ni kama mapacha, tofauti mmoja anafanya upuuzi wake kwa mashairi mwingine anatiririka kwa kuongea kawaida kila anapopata nafasi, wasanii wa maigizo karibu wote ni kichefuchefu, waimbaji kidogo kuna baadhi wanajielewa.

Kwa namna hii, ipi faida ya kuwa na wasanii kama nao kwa namna kubwa wanakuwa sehemu ya upotoshaji?

Najua nyuki wa mama mtakuja, oooh usimpangie mtu, wanafanya wanavyotaka blaaa blaa blaaa, ila wote tunajua wanafanya hivi kwa maslahi binafsi ambayo yakitolewa hutawaona hapo tena, lakini wengine ni rafiki na ndugu zetu na wanasema wazi kabisa naelewa hiki nnachofanya ni upumbavu na napotosha wengi, lakini na mimi nataka niwe na nyumba au gari nzuri kwahiyo potelea pote!

Hawaoni umuhimu wa kuelimisha ili rasilimali hizi zisitumike vibaya kwake bali hata mtoto wake kesho na mjukuu wake keshokutwa afaidike na asije kuishi kwa tabu na umasikini wa kutupwa?

NB: Burudani tunaitaka lakini jukumu la wao kuelemisha jamii kama wasanii na nguvu ya ushawishi waliyonayo ikiishia kwenye uchawa nani ataikomboa jamii?

Au mpaka wageukwe waanze kutaabishwa na utekaji ubishe kwenye milango yao ndio wataamka kutoka kwenye usingizi mzito walionao.

Pia soma:
~ Mwijaku anajikuta nani hasa? Ifike mahala tuanze gomea biashara za chawa wote, unfollow kwenye mambo yao yote!
~ Machawa wanapata wapi pesa? Aristote amjengea ghorofa la kwenda mlinzi wake
~ Samia Challenge: kampeni kwa niaba ya mama?
~ Wasanii wetu tumieni mitandao na umaarufu wenu kukemea utekaji na mauaji yanayoendelea
~ Wasanii wa Tanzania mbona hawakemei utekaji na mauaji yanayoendelea nchini?
~ Nay wa Mitego na Nitasema: Movie ya Chato Part two ni Kizimkazi!
~ Ney wa Mitego aitwa BASATA kujadili wimbo wake wa ‘Nitasema’
~ Kuelekea 2025 - Haya ndiyo makosa ambayo BASATA wanamtuhumu Nay wa Mitego kutokana na wimbo wake wa Nitasema
- Kuelekea 2025 - Diamond Platnumz: Wana Mbeya mnatakiwa kutembea kifua mbele kwa kumchagua Tulia, tusikubali kulipoteza hili jembe
Wasanii ni wafanya biashara.
Wana kwenda palipo na fedha. Ukiwa lipa wanachotaka watakuja kufanya kazi.
 
CCM ikiangushwa Oktoba 25 Tanzania itahitaji Wasanii wapya
 
Hata usiwalaumu, wako tatika kuhakikisha mkate aukauki katika meza zao. Kumbuka wasanii wengi ndio wale walikuwa wajinga sana huko mashuleni, sema walikuwa na uthubuti katika kufanya ujinga wao bila kujari matokeo yake.

Hadi Wameimba "wao ndio wale wale tuliowakataa, na Sasa wameshajipata..."

Hawana masaada wowote katika maisha ya kawaida, wao pia wako katika kuhakikisha wanaokota chochote kipindi hiki Cha mavuno.
 
Wakuu salam,

Tumekuwa tukiona wasanii wakitumika kwenye kampeni na kujiingiza kwenye shughuli za kisiasa ambao karibuni imekuwa too much. Huko nyuma CCM walikuwa na bendi yao ikiongozwa na Hayati Kapt. Komba, kidogo kidogo wasaanii wakaanza kuingizwa kuburudisha, kwa Hayati Magufuli ndio ikawa kama usimikwaji rasmi ya Wasii kuwa chawa.

Wasanii makundi kwa makundi wakanyoosha moja kwa moja CCM na kidogo wakaenda kwa wapinzani.

Tukumbuke wasanii wananguvu kubwa ya ushawishi hasa kwa watu ambao hawajaelimika na kufuata mkumbo ambao ndio wengi. Akimuona tu Diamond anaunga mkono juhudi, au yuko kwa wazee wa babadiliko hata hafakirii mara mbili naye anakuwa chama husika, msanii huyo akipotosha taarifa fulani ni rahisi sana kwa wananchi huyu kukubaliana na alichosema.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mpoto akaanza vizuri na mjomba lakini ukiangalia sasa hivi ni takataka, yaani yeye na Mwijaku ni kama mapacha, tofauti mmoja anafanya upuuzi wake kwa mashairi mwingine anatiririka kwa kuongea kawaida kila anapopata nafasi, wasanii wa maigizo karibu wote ni kichefuchefu, waimbaji kidogo kuna baadhi wanajielewa.

Kwa namna hii, ipi faida ya kuwa na wasanii kama nao kwa namna kubwa wanakuwa sehemu ya upotoshaji?

Najua nyuki wa mama mtakuja, oooh usimpangie mtu, wanafanya wanavyotaka blaaa blaa blaaa, ila wote tunajua wanafanya hivi kwa maslahi binafsi ambayo yakitolewa hutawaona hapo tena, lakini wengine ni rafiki na ndugu zetu na wanasema wazi kabisa naelewa hiki nnachofanya ni upumbavu na napotosha wengi, lakini na mimi nataka niwe na nyumba au gari nzuri kwahiyo potelea pote!

Hawaoni umuhimu wa kuelimisha ili rasilimali hizi zisitumike vibaya kwake bali hata mtoto wake kesho na mjukuu wake keshokutwa afaidike na asije kuishi kwa tabu na umasikini wa kutupwa?

NB: Burudani tunaitaka lakini jukumu la wao kuelemisha jamii kama wasanii na nguvu ya ushawishi waliyonayo ikiishia kwenye uchawa nani ataikomboa jamii?

Au mpaka wageukwe waanze kutaabishwa na utekaji ubishe kwenye milango yao ndio wataamka kutoka kwenye usingizi mzito walionao.

Pia soma:
~ Mwijaku anajikuta nani hasa? Ifike mahala tuanze gomea biashara za chawa wote, unfollow kwenye mambo yao yote!
~ Machawa wanapata wapi pesa? Aristote amjengea ghorofa la kwenda mlinzi wake
~ Samia Challenge: kampeni kwa niaba ya mama?
~ Wasanii wetu tumieni mitandao na umaarufu wenu kukemea utekaji na mauaji yanayoendelea
~ Wasanii wa Tanzania mbona hawakemei utekaji na mauaji yanayoendelea nchini?
~ Nay wa Mitego na Nitasema: Movie ya Chato Part two ni Kizimkazi!
~ Ney wa Mitego aitwa BASATA kujadili wimbo wake wa ‘Nitasema’
~ Kuelekea 2025 - Haya ndiyo makosa ambayo BASATA wanamtuhumu Nay wa Mitego kutokana na wimbo wake wa Nitasema
- Kuelekea 2025 - Diamond Platnumz: Wana Mbeya mnatakiwa kutembea kifua mbele kwa kumchagua Tulia, tusikubali kulipoteza hili jembe
Katika siasa za dunia kitu muhimu ni USHAWISHI. Ushawishi ktk makundi mbalimbali ya kijamii ili kufanikisha malengo ya kisiasa na kuwarahisishia utawanywaji wa kasi wa sera na malengo ya kisiasa. Makundi ya kijamii yako mengi. mf. Wafanyakazi na vyama vyao, yaani Walimu, Wanasheria, Wakulima, wanamichezo, Watu maatufu n.k. Mwalimu JK Nyerere na Abeid A. Karume (marehemu) hawa waliwatumia sana wanamichezo hasa mpira wa miguu, na kundi la wanaushirika na Vyama vyao. Toka enzi sanaa ya mziki wa bendi na kwaya imetumika pia kuwa nyenzo ya kueneza sera na propaganda za TANU na Serikali. Na bendi zilizofanya kazi hiyo zilijulikana sababu nyingi liliundwa na mashirika ya umma. Mpaka leo vyama vyote vya siasa duniani vinajitahidi kushawishi kuungwa mkono na wasanii ktk harakati zao. Tofauti ya leo ktk nchi yetu, uwanda wa sanaa umepanuka na kukua kwa kasi hata kuua baadhi ya bendi achilia kuibuka kwa kasi sanaa nyingine za maigizo na uchekeshaji na hivyo kuitegemea Bongo flavor, Bongo Movie na Comedy. Makundi haya ya kijamii yana nguvu ya kuweza kushawishi nani awe kiongozi. Mfano mzuri ni uchaguzi wa Chadema mwaka huu. Wanasheria na Wanaharakati ndio walioshawishi nani awe mwenyekiti na huwezi kuita huo ni UCHAWA bali nguvu ya hoja za ushawishi. Kizuri katika nchi yetu Mwalimu JK Nyerere alivunja makundi mawili ya kijamii ambayo ni hatari sana ktk ushawishi. Udini na Ukabila na ndiyo maana tumebaki salama.
 
Wakuu salam,

Tumekuwa tukiona wasanii wakitumika kwenye kampeni na kujiingiza kwenye shughuli za kisiasa ambao karibuni imekuwa too much. Huko nyuma CCM walikuwa na bendi yao ikiongozwa na Hayati Kapt. Komba, kidogo kidogo wasaanii wakaanza kuingizwa kuburudisha, kwa Hayati Magufuli ndio ikawa kama usimikwaji rasmi ya Wasii kuwa chawa.

Wasanii makundi kwa makundi wakanyoosha moja kwa moja CCM na kidogo wakaenda kwa wapinzani.

Tukumbuke wasanii wananguvu kubwa ya ushawishi hasa kwa watu ambao hawajaelimika na kufuata mkumbo ambao ndio wengi. Akimuona tu Diamond anaunga mkono juhudi, au yuko kwa wazee wa babadiliko hata hafakirii mara mbili naye anakuwa chama husika, msanii huyo akipotosha taarifa fulani ni rahisi sana kwa wananchi huyu kukubaliana na alichosema.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mpoto akaanza vizuri na mjomba lakini ukiangalia sasa hivi ni takataka, yaani yeye na Mwijaku ni kama mapacha, tofauti mmoja anafanya upuuzi wake kwa mashairi mwingine anatiririka kwa kuongea kawaida kila anapopata nafasi, wasanii wa maigizo karibu wote ni kichefuchefu, waimbaji kidogo kuna baadhi wanajielewa.

Kwa namna hii, ipi faida ya kuwa na wasanii kama nao kwa namna kubwa wanakuwa sehemu ya upotoshaji?

Najua nyuki wa mama mtakuja, oooh usimpangie mtu, wanafanya wanavyotaka blaaa blaa blaaa, ila wote tunajua wanafanya hivi kwa maslahi binafsi ambayo yakitolewa hutawaona hapo tena, lakini wengine ni rafiki na ndugu zetu na wanasema wazi kabisa naelewa hiki nnachofanya ni upumbavu na napotosha wengi, lakini na mimi nataka niwe na nyumba au gari nzuri kwahiyo potelea pote!

Hawaoni umuhimu wa kuelimisha ili rasilimali hizi zisitumike vibaya kwake bali hata mtoto wake kesho na mjukuu wake keshokutwa afaidike na asije kuishi kwa tabu na umasikini wa kutupwa?

NB: Burudani tunaitaka lakini jukumu la wao kuelemisha jamii kama wasanii na nguvu ya ushawishi waliyonayo ikiishia kwenye uchawa nani ataikomboa jamii?

Au mpaka wageukwe waanze kutaabishwa na utekaji ubishe kwenye milango yao ndio wataamka kutoka kwenye usingizi mzito walionao.

Pia soma:
~ Mwijaku anajikuta nani hasa? Ifike mahala tuanze gomea biashara za chawa wote, unfollow kwenye mambo yao yote!
~ Machawa wanapata wapi pesa? Aristote amjengea ghorofa la kwenda mlinzi wake
~ Samia Challenge: kampeni kwa niaba ya mama?
~ Wasanii wetu tumieni mitandao na umaarufu wenu kukemea utekaji na mauaji yanayoendelea
~ Wasanii wa Tanzania mbona hawakemei utekaji na mauaji yanayoendelea nchini?
~ Nay wa Mitego na Nitasema: Movie ya Chato Part two ni Kizimkazi!
~ Ney wa Mitego aitwa BASATA kujadili wimbo wake wa ‘Nitasema’
~ Kuelekea 2025 - Haya ndiyo makosa ambayo BASATA wanamtuhumu Nay wa Mitego kutokana na wimbo wake wa Nitasema
- Kuelekea 2025 - Diamond Platnumz: Wana Mbeya mnatakiwa kutembea kifua mbele kwa kumchagua Tulia, tusikubali kulipoteza hili jembe
CCM ni shimo la takataka lazma imeze wajinga
 
Jambo muhimu ni kwamba watu maarufu kwa nafasi ya wasaani wasitutoe kwenye reli. Kwa vile wao wanataka sisi watufikirishe jambo la muhimu ni kuzi unfollow na dislike kazi zao mitandaoni. Vile vile tukiona wanakera tuache kuhudhuria matamasha yao....ili ...wajue pamoja na kwamba wana vipaji wananchi ni wadau muhimu kwao kuendeleza taaluma zao.
 
Wakuu salam,

Tumekuwa tukiona wasanii wakitumika kwenye kampeni na kujiingiza kwenye shughuli za kisiasa ambao karibuni imekuwa too much. Huko nyuma CCM walikuwa na bendi yao ikiongozwa na Hayati Kapt. Komba, kidogo kidogo wasaanii wakaanza kuingizwa kuburudisha, kwa Hayati Magufuli ndio ikawa kama usimikwaji rasmi ya Wasii kuwa chawa.

Wasanii makundi kwa makundi wakanyoosha moja kwa moja CCM na kidogo wakaenda kwa wapinzani.

Tukumbuke wasanii wananguvu kubwa ya ushawishi hasa kwa watu ambao hawajaelimika na kufuata mkumbo ambao ndio wengi. Akimuona tu Diamond anaunga mkono juhudi, au yuko kwa wazee wa babadiliko hata hafakirii mara mbili naye anakuwa chama husika, msanii huyo akipotosha taarifa fulani ni rahisi sana kwa wananchi huyu kukubaliana na alichosema.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mpoto akaanza vizuri na mjomba lakini ukiangalia sasa hivi ni takataka, yaani yeye na Mwijaku ni kama mapacha, tofauti mmoja anafanya upuuzi wake kwa mashairi mwingine anatiririka kwa kuongea kawaida kila anapopata nafasi, wasanii wa maigizo karibu wote ni kichefuchefu, waimbaji kidogo kuna baadhi wanajielewa.

Kwa namna hii, ipi faida ya kuwa na wasanii kama nao kwa namna kubwa wanakuwa sehemu ya upotoshaji?

Najua nyuki wa mama mtakuja, oooh usimpangie mtu, wanafanya wanavyotaka blaaa blaa blaaa, ila wote tunajua wanafanya hivi kwa maslahi binafsi ambayo yakitolewa hutawaona hapo tena, lakini wengine ni rafiki na ndugu zetu na wanasema wazi kabisa naelewa hiki nnachofanya ni upumbavu na napotosha wengi, lakini na mimi nataka niwe na nyumba au gari nzuri kwahiyo potelea pote!

Hawaoni umuhimu wa kuelimisha ili rasilimali hizi zisitumike vibaya kwake bali hata mtoto wake kesho na mjukuu wake keshokutwa afaidike na asije kuishi kwa tabu na umasikini wa kutupwa?

NB: Burudani tunaitaka lakini jukumu la wao kuelemisha jamii kama wasanii na nguvu ya ushawishi waliyonayo ikiishia kwenye uchawa nani ataikomboa jamii?

Au mpaka wageukwe waanze kutaabishwa na utekaji ubishe kwenye milango yao ndio wataamka kutoka kwenye usingizi mzito walionao.

Pia soma:
~ Mwijaku anajikuta nani hasa? Ifike mahala tuanze gomea biashara za chawa wote, unfollow kwenye mambo yao yote!
~ Machawa wanapata wapi pesa? Aristote amjengea ghorofa la kwenda mlinzi wake
~ Samia Challenge: kampeni kwa niaba ya mama?
~ Wasanii wetu tumieni mitandao na umaarufu wenu kukemea utekaji na mauaji yanayoendelea
~ Wasanii wa Tanzania mbona hawakemei utekaji na mauaji yanayoendelea nchini?
~ Nay wa Mitego na Nitasema: Movie ya Chato Part two ni Kizimkazi!
~ Ney wa Mitego aitwa BASATA kujadili wimbo wake wa ‘Nitasema’
~ Kuelekea 2025 - Haya ndiyo makosa ambayo BASATA wanamtuhumu Nay wa Mitego kutokana na wimbo wake wa Nitasema
- Kuelekea 2025 - Diamond Platnumz: Wana Mbeya mnatakiwa kutembea kifua mbele kwa kumchagua Tulia, tusikubali kulipoteza hili jembe

JANUARY

FEBRUARY
Machawa yanazingua sana!
 
Back
Top Bottom