Wasanii kumi wa bongo ambao hawana nidhamu

Aiseeeeeeeee!?
Kumbe Lina Anaskendo ya KULAWITIWA!? Sikujua hiyo.
 
Huyu namba 10 kweli mgeni masikioni
 

Hapa baba tunda mizukz ilimpanda,si unajua :majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:

10. Kimbunga Mchawi
Huyu ni mpya kwenye game ila kitendo chake cha kishujaa kwa mafilauni kimemfanya aingie kwenye top ten yeye alimlawiti Linna Sanga baada ya kumnywesha madawa kwenye kinywaji lakini nashangaa msanii huyu anataka kuitwa kioo cha jamii


kabaaaaaaaaaaaaaaaaaang

 
Hata mwigulu nchemba msanii toka pande za bunge movie aliropoka kuwa ana mkanda wa CDM kuwa ni magaidi mpaka leo hajautoa
 
Kalapina na Dudubaya wanastahili kuwepo hapo,then mtoe Mh.Temba,apart from matusi ya kwenye nyimbo zake hana tatizo na mtu,sijawahi kusikia skendo za ajabu ajabu kutoka kwake atleast anajitambua.Huyo Kimbunga usingemuweka hapo coz hastahili hata kuitwa msanii coz sijawahi kumuelewa anachofanya kwenye mziki,huyo ni muhuni (mvuta bangi fulani) aliyeamua kuingia studio but hana hadhi hata ya kuitwa msanii.
 
Hemed ni shoga kitambo asikuumize kichwa
 

Wewe ni mzuri mbona inakuuma itakuwa ni mbaya wewe
 

Hapa baba tunda mizukz ilimpanda,si unajua :majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:




kabaaaaaaaaaaaaaaaaaang


Duh, nasikia naye anautaka ubunge! Hii nchi hii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…