Wasanii kumi wa bongo ambao hawana nidhamu

Haya hiyo ni wanaume. Wanawake je? Na unaposema wasanii unamaana wa nyimbo tu ay hata wa maigizo?Magazeti ya udaku yamejaa wasanii wakike kuliko wa kiume.
 
Haya hiyo ni wanaume. Wanawake je? Na unaposema wasanii unamaana wa nyimbo tu ay hata wa maigizo?Magazeti ya udaku yamejaa wasanii wakike kuliko wa kiume.

wanawake kidogo wana staha kuliko midume labda umalaya ambalo ni janga la taifa na kuvaa nguo fupi wanawake wengi wanatabia hizo lakini sidhani kama kuna mwanamke msanii tapeli au anatukana matusi hadharani kidogo kwao kuna afadhali
 
Namba 10 ulikuwa ni upotoshaji, alikuwa ni msichana anaitwa Linah ( Siyo Linah Sanga Muimbaji)
 
Namba 10 ulikuwa ni upotoshaji, alikuwa ni msichana anaitwa Linah ( Siyo Linah Sanga Muimbaji)

acha kutetea ujinga....... Linna kaliwa kiboka na rb ya polisi alichukua mwenyewe osterbay
source,askari ambae ni mdau wa mziki pia ni rafiki yangu wa karibu waliua so kidizaini tu kulinda heshima ya linna na ustaa wake ukizingatia wote wanatoka kambi ya ruge
 
Nasisitiza Tena. Huu ni upotoshaji Mkubwa Na ulishatolewa ufafanuzi. Aliyefanyiwa hayo siyo Linah Sanga.
 
Nasisitiza Tena. Huu ni upotoshaji Mkubwa Na ulishatolewa ufafanuzi. Aliyefanyiwa hayo siyo Linah Sanga.

tusibishane sana ata marehem albert mangwea aliambia anatumia unga aache utamuua lakini akabisha si kweli wanamsingizia,lord eyes aliambiwa kaiba power window za gari la ommy dimpoz akakanusha tena kwenye press conference na wakili wake refer ishu ya kapuya still alikataa so ni kawaida kwa watu mahaarufu kulinda heshima yake mbele ya hadhira ,linna hatakiwi kukubali eti ni kweli nilifirwaaaaa na kimbunga yeye ni mjinga kukanusha ni lazima kwa jambo hilo
 
Nasisitiza Tena. Huu ni upotoshaji Mkubwa Na ulishatolewa ufafanuzi. Aliyefanyiwa hayo siyo Linah Sanga.

kama ni uongo kwa nn ilitumika nguvu kubwa kukanusha isiyokua ya kawaida mpaka wakawekwa redion live kila mtu kwa mda wake na kimbunga akaktaa kua huo ni uzushi hajakamatwa kwa kesi ya ulawiti sasa polisi alienda kwa kesi gani na anadai polisi hakupelekwa still alipelekwa na wapo waliomshuudia
 
Kimbunga Mchawi akila mmea...
Majani dawa.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Kwa unavyoona uongo auhitaji nguvu kubwa kukanushwa??? Kimbuga alifanya tukio kwa msichana anaeitwa Linah (Siyo Linah Sanga Muimbaji) Kimbunga alilala rumande kweli....... Upotoshaji ni kumuhusisha Linah Sanga.
 
Usiyatumie hayo kuulinda upotoshaji. Nawajua wote kuliko unavyo wajua.
 
Kwa unavyoona uongo auhitaji nguvu kubwa kukanushwa??? Kimbuga alifanya tukio kwa msichana anaeitwa Linah (Siyo Linah Sanga Muimbaji) Kimbunga alilala rumande kweli....... Upotoshaji ni kumuhusisha Linah Sanga.

kuna kashfa ngapi wanazipotezea za ruge,b12, na nk kwa nn kimbunga who is kimbunga mpaka apewe air time redioni utaona kuna uzito wa mtendwa hapa
 
kuna kashfa ngapi wanazipotezea za ruge,b12, na nk kwa nn kimbunga who is kimbunga mpaka apewe air time redioni utaona kuna uzito wa mtendwa hapa

Uzito kwenye kukanusha upotoshaji ni jambo la msingi...... Hata Ruge kwa anazoona ni za msingi nimeshasikia akizifafanua kwenye PB asubuhi nzima. Acha kusema mambo yasiyo na ukweli yalishafafanuliwa.
 
Hahahaa haaaa uwiii Yaani nimecheka
Leo
Khaaaaa appoh jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…