Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio maarufu sanaa kalimla tigo Lina sangaa hadi kulazwaaa chezeaa kuzibuliwaa mtarooo
Haya hiyo ni wanaume. Wanawake je? Na unaposema wasanii unamaana wa nyimbo tu ay hata wa maigizo?Magazeti ya udaku yamejaa wasanii wakike kuliko wa kiume.
Namba 10 ulikuwa ni upotoshaji, alikuwa ni msichana anaitwa Linah ( Siyo Linah Sanga Muimbaji)
acha kutetea ujinga....... Linna kaliwa kiboka na rb ya polisi alichukua mwenyewe osterbay
source,askari ambae ni mdau wa mziki pia ni rafiki yangu wa karibu waliua so kidizaini tu kulinda heshima ya linna na ustaa wake ukizingatia wote wanatoka kambi ya ruge
Nasisitiza Tena. Huu ni upotoshaji Mkubwa Na ulishatolewa ufafanuzi. Aliyefanyiwa hayo siyo Linah Sanga.
Nasisitiza Tena. Huu ni upotoshaji Mkubwa Na ulishatolewa ufafanuzi. Aliyefanyiwa hayo siyo Linah Sanga.
kama ni uongo kwa nn ilitumika nguvu kubwa kukanusha isiyokua ya kawaida mpaka wakawekwa redion live kila mtu kwa mda wake na kimbunga akaktaa kua huo ni uzushi hajakamatwa kwa kesi ya ulawiti sasa polisi alienda kwa kesi gani na anadai polisi hakupelekwa still alipelekwa na wapo waliomshuudia
tusibishane sana ata marehem albert mangwea aliambia anatumia unga aache utamuua lakini akabisha si kweli wanamsingizia,lord eyes aliambiwa kaiba power window za gari la ommy dimpoz akakanusha tena kwenye press conference na wakili wake refer ishu ya kapuya still alikataa so ni kawaida kwa watu mahaarufu kulinda heshima yake mbele ya hadhira ,linna hatakiwi kukubali eti ni kweli nilifirwaaaaa na kimbunga yeye ni mjinga kukanusha ni lazima kwa jambo hilo
Kwa unavyoona uongo auhitaji nguvu kubwa kukanushwa??? Kimbuga alifanya tukio kwa msichana anaeitwa Linah (Siyo Linah Sanga Muimbaji) Kimbunga alilala rumande kweli....... Upotoshaji ni kumuhusisha Linah Sanga.
kuna kashfa ngapi wanazipotezea za ruge,b12, na nk kwa nn kimbunga who is kimbunga mpaka apewe air time redioni utaona kuna uzito wa mtendwa hapa
Yaan huyo Kombaa wataniachiaa mieee namtoshaa nampa kichwa kimojaa hadi uzito utaupunguaa maninaa zakee
kilichomuokoa kimbuga yeye alitangaza mapema kua ni mfuasi wa ruge ikaonekama kupeleka kesi mahakamani ni kumchoresha linna bora waizime kimya kimya ila ukweli linna alifirwa na kimbunga kalala polisi
source jarada la kesi yao polisi central....
Tatizo kulikua hakuna ushaidi wa kuonekana kwa kimbunga aikiingiza dudu ila hatua ya mwisho lina alikua na kimbunga kama ya kupoteza fahamu na kujikuta uchi kitandani huku mkuuuundu ukimuuma sana na kuuuma ikiwa katika hali nzuri kabisa yaani haikuguswa