Wasanii kumi wa bongo ambao hawana nidhamu

Wasanii kumi wa bongo ambao hawana nidhamu

Huyo Hemed ni mwanaume mwenye dharau sana, siku moja anahojiwa radio clouds kaulizwa ni "jambo lipi baya ulilowahi fanya ukiwa shule" eti kwa dharau akajibu nimewahi mtemea mate usoni msichana mbaya, akimaanisha mbaya wa sura. Akaongeza nilikuwa siwapendi wasichana wabaya. Du, alinichefua siku hiyo, sikuwahi kumpenda toka siku hiyo till now.

Inaelekea na wewe n mbaya
 
Uzito kwenye kukanusha upotoshaji ni jambo la msingi...... Hata Ruge kwa anazoona ni za msingi nimeshasikia akizifafanua kwenye PB asubuhi nzima. Acha kusema mambo yasiyo na ukweli yalishafafanuliwa.

Sawa millard ayo
 
Back
Top Bottom