Unamaanisha kumpa support kiongozi wao wa nchi akifanya jambo la maendeleo kwa ajili ya manufaa ya wananchi wote akiwemo mimi na wewe ndo kujikomba huko kwa definition yako? Hebu tuache akili za kushikiwa tutumie bongo zetu sio kufikiriwa na kuishi kwa mihemko ya kupinga kila kitu. Hebu hama nchi ndo tutakuona mjanja sio unapinga tu huku umekomaa unaishi kwenye utawala wa unayempinga ukila na kunywa kwa hisani yake.Kujikomba ndio kazi waliyoibakisha,Sana'a ishawashinda mtaani kugumu vyema vimekaza hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika wanampa sapoti kwa dhati ya mioyo yao kwa maendeleo unayoyasema au wamelipwa kama desturi?Unamaanisha kumpa support kiongozi wao wa nchi akifanya jambo la maendeleo kwa ajili ya manufaa ya wananchi wote akiwemo mimi na wewe ndo kujikomba huko kwa definition yako? Hebu tuache akili za kushikiwa tutumie bongo zetu sio kufikiriwa na kuishi kwa mihemko ya kupinga kila kitu. Hebu hama nchi ndo tutakuona mjanja sio unapinga tu huku umekomaa unaishi kwenye utawala wa unayempinga ukila na kunywa kwa hisani yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja yako ni ipi mkuu? Una uhakika mkeo/mmeo anaishi na wewe kwa dhati ya moyo wake au kuna maslahi mengine yanamvuta kwako? Hebu tuanzie tuition kwanza kabla hujaingia darasani.Una uhakika wanampa sapoti kwa dhati ya mioyo yao kwa maendeleo unayoyasema au wamelipwa kama desturi?
Mbn umekataa hawajikombi? Mi nimeuliza kuunga mkono kiongozi wao ni kwa dhati au wamelipwa? Ila najua kama wamelipwa sio uzalendo wala sapoti ni ajira inabidi wajikombe.Hoja yako ni ipi mkuu? Una uhakika mkeo/mmeo anaishi na wewe kwa dhati ya moyo wake au kuna maslahi mengine yanamvuta kwako? Hebu tuanzie tuition kwanza kabla hujaingia darasani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Point sio kulipwa au kutolipwa, point ni mchango wa anachoenda uzindua mtukufu Rais wako kwako na kizazi chako, hayo mengine ni pumba tupu na hayatakiwi kupewa attention, otherwise kama una shida nyingine mkuuMbn umekataa hawajikombi? Mi nimeuliza kuunga mkono kiongozi wao ni kwa dhati au wamelipwa? Ila najua kama wamelipwa sio uzalendo wala sapoti ni ajira inabidi wajikombe.
Mimi nakunywa kwa jasho langu wala si hisani yake huyo unayemuita mkuu wa nchi! Yeye sio Mungu yeye sio roho mpaka kuishi kwa hisani yake! Hizo nauli + T-shirt za bure na posho walizopewa ndio unaita support? Sasa wana tofauti gani na kununuliwa kwenda kulia msibani au kucheza show harusini!? Support ya kweli haiitaji matumizi ya nguvu nyingi hao sanii kila mmoja kivyake vyake angeonyesha kwa namna yake vile anamkubali mkulu badala ya kiwakusanya na kuwalipa kisha muite SupportUnamaanisha kumpa support kiongozi wao wa nchi akifanya jambo la maendeleo kwa ajili ya manufaa ya wananchi wote akiwemo mimi na wewe ndo kujikomba huko kwa definition yako? Hebu tuache akili za kushikiwa tutumie bongo zetu sio kufikiriwa na kuishi kwa mihemko ya kupinga kila kitu. Hebu hama nchi ndo tutakuona mjanja sio unapinga tu huku umekomaa unaishi kwenye utawala wa unayempinga ukila na kunywa kwa hisani yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani upambane na hali yako tu my lady, these are big matters. Inaonyesha hujapevuka enough to understand much.Mimi nakunywa kwa jasho langu wala si hisani yake huyo unayemuita mkuu wa nchi! Yeye sio Mungu yeye sio roho mpaka kuishi kwa hisani yake! Hizo nauli + T-shirt za bure na posho walizopewa ndio unaita support? Sasa wana tofauti gani na kununuliwa kwenda kulia msibani au kucheza show harusini!? Support ya kweli haiitaji matumizi ya nguvu nyingi hao sanii kila mmoja kivyake vyake angeonyesha kwa namna yake vile anamkubali mkulu badala ya kiwakusanya na kuwalipa kisha muite Support
Sent using Jamii Forums mobile app
Vilaza wengi kweli yani wew unaUa jambo kumuambia mtu asiyekuwa bongo,, sasa utakusaidia nin sasa zaodi ya kujidhalilisha kwa huu upupu wako
[emoji1] [emoji1] kwa kujitoa ufahamu tu! HongereniNadhani upambane na hali yako tu my lady, these are big matters. Inaonyesha hujapevuka enough to understand much.
Sent using Jamii Forums mobile app
Relax Mpwa, maisha lazima yaendeleee.Vilaza wengi kweli yani wew unaUa jambo kumuambia mtu asiyekuwa bongo,, sasa utakusaidia nin sasa zaodi ya kujidhalilisha kwa huu upupu wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kichwa cha habari mleta Uzi kasemaje? Hayo ya raisi wako mtukufu na kizazi chako baki nayo ww na kizazi chako.tujadili hao wasanii wanajikomba au la maana kichwa cha habari hakizungumzii utukufu wa yeyote awaePoint sio kulipwa au kutolipwa, point ni mchango wa anachoenda uzindua mtukufu Rais wako kwako na kizazi chako, hayo mengine ni pumba tupu na hayatakiwi kupewa attention, otherwise kama una shida nyingine mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app