Wasanii mbalimbali wapata shavu kumsupport Magufuli akizindua mradi wa bomba la mafuta Tanga

Hongera zao kwa kula shavu.
317560ce07922b3c554d4e76a3e1b188.jpg

-Ndumilakuwili-
 
Kujikomba ndio kazi waliyoibakisha,Sana'a ishawashinda mtaani kugumu vyema vimekaza hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha kumpa support kiongozi wao wa nchi akifanya jambo la maendeleo kwa ajili ya manufaa ya wananchi wote akiwemo mimi na wewe ndo kujikomba huko kwa definition yako? Hebu tuache akili za kushikiwa tutumie bongo zetu sio kufikiriwa na kuishi kwa mihemko ya kupinga kila kitu. Hebu hama nchi ndo tutakuona mjanja sio unapinga tu huku umekomaa unaishi kwenye utawala wa unayempinga ukila na kunywa kwa hisani yake.

Una uhakika wanampa sapoti kwa dhati ya mioyo yao kwa maendeleo unayoyasema au wamelipwa kama desturi?
 
Kumsapoti[emoji23][emoji23][emoji23].washachukua hela hapo.baadae wanaanza kulia lia.serikali haiwasaidii.
WAAMBIE WAO NI TOILET PAPER.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika wanampa sapoti kwa dhati ya mioyo yao kwa maendeleo unayoyasema au wamelipwa kama desturi?
Hoja yako ni ipi mkuu? Una uhakika mkeo/mmeo anaishi na wewe kwa dhati ya moyo wake au kuna maslahi mengine yanamvuta kwako? Hebu tuanzie tuition kwanza kabla hujaingia darasani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja yako ni ipi mkuu? Una uhakika mkeo/mmeo anaishi na wewe kwa dhati ya moyo wake au kuna maslahi mengine yanamvuta kwako? Hebu tuanzie tuition kwanza kabla hujaingia darasani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbn umekataa hawajikombi? Mi nimeuliza kuunga mkono kiongozi wao ni kwa dhati au wamelipwa? Ila najua kama wamelipwa sio uzalendo wala sapoti ni ajira inabidi wajikombe.
 
Point sio kulipwa au kutolipwa, point ni mchango wa anachoenda uzindua mtukufu Rais wako kwako na kizazi chako, hayo mengine ni pumba tupu na hayatakiwi kupewa attention, otherwise kama una shida nyingine mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamaanisha kumpa support kiongozi wao wa nchi akifanya jambo la maendeleo kwa ajili ya manufaa ya wananchi wote akiwemo mimi na wewe ndo kujikomba huko kwa definition yako? Hebu tuache akili za kushikiwa tutumie bongo zetu sio kufikiriwa na kuishi kwa mihemko ya kupinga kila kitu. Hebu hama nchi ndo tutakuona mjanja sio unapinga tu huku umekomaa unaishi kwenye utawala wa unayempinga ukila na kunywa kwa hisani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nakunywa kwa jasho langu wala si hisani yake huyo unayemuita mkuu wa nchi! Yeye sio Mungu yeye sio roho mpaka kuishi kwa hisani yake! Hizo nauli + T-shirt za bure na posho walizopewa ndio unaita support? Sasa wana tofauti gani na kununuliwa kwenda kulia msibani au kucheza show harusini!? Support ya kweli haiitaji matumizi ya nguvu nyingi hao sanii kila mmoja kivyake vyake angeonyesha kwa namna yake vile anamkubali mkulu badala ya kiwakusanya na kuwalipa kisha muite Support

Nadhani upambane na hali yako tu my lady, these are big matters. Inaonyesha hujapevuka enough to understand much.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point sio kulipwa au kutolipwa, point ni mchango wa anachoenda uzindua mtukufu Rais wako kwako na kizazi chako, hayo mengine ni pumba tupu na hayatakiwi kupewa attention, otherwise kama una shida nyingine mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kichwa cha habari mleta Uzi kasemaje? Hayo ya raisi wako mtukufu na kizazi chako baki nayo ww na kizazi chako.tujadili hao wasanii wanajikomba au la maana kichwa cha habari hakizungumzii utukufu wa yeyote awae
 
Back
Top Bottom