Wasanii mbalimbali wapata shavu kumsupport Magufuli akizindua mradi wa bomba la mafuta Tanga

Mkuu Mkapa hakusea kauli ya malofa na wapumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shilole lazima apewe shavu, si alikuwa jukwaa moja juzi na chura churani kipenzi cha mkuu
 
Mukuli ndio amewasupport wasanii kwa kuwalipa ili wakamsaidie kujaza nyomi.

Bila wasanii nyomi haijai

Lexus Mayai
 
Wangeacha kama wangelikuwa na uwezo ila kwa kuwa hawana wanabaki kama mazwazwa
wewe ndo zwazwa tofautisha mambo ya mtu binafsi na serikali,clouds haina ugomvi na serikali ina ugomvi na makonda.....
 
Kwani tanga hakuna watu mpaka waende wao? Kama wana nia ya kweli kumpa sapoti kwann wasingebadili matumizi ya hyo gharama waliyoitumia eg kupeleka kwa watoto yatima au chochote kile bila kwenda huko Tanga. Well wameshafika Tanga, nn watakifanya pale john na m7 wanapokata utepe? Au kuona tu? Walikuwa wapi wakati daraja la umoja mtambaswala mtwara linazinduliwa? Au sio muhimu? Walienda na Jahkaya kuzindua daraja la malagarasi? Mbona ujenzi wa barabara ya itigi-tabora hawakuja kutoa sapoti au sio muhimu kama hili bomba? Anyway tuna bomba jingine la gas kutoka msimbati mpaka kinyerezi mbona hatukuwaona? Ujenzi wa DART unavyozinduliwa sikuwaona pia na walikuwepo wote hao akina mzee chilo n.k!! ww wa wapi? Njaa mbaya sana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Awamu ya Tano Imewekwa Madarakani na Wasanii ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una akili fupi kama koroboi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…