Wasanii, mnajua ni mbinu zipi mwanamuziki Diamond anatumia kuwapiku? Je, yeye ni Freemason?

Mawazo ya mtoa mada bhaana!!

Yaani hadi umemtaja demu wako wa shuleni!!

Tutaonana siku ya hukumu tu.
Maana ndipo yote yatakapofunuliwa.
Kumjua wakala wa shetani na wakala wa Mungu kwa sasa ni ngumu.
Siku mabakuli na vikombe vitakapofunuliwa.......aibu.
 
Hana mbinu zaidi ya watu wanaomfanya brand kwa mafanikio yao. Hata wewe watu wakikuona unakajikipaji flani wakiamua kukatumia kwa maslahi yao basi utakuwa tu.
 
Wanawake wote duniani ni Freemasons? Mama yako ndio amekuthibitishia hivyo au dada zako?
 
Hana mbinu zaidi ya watu wanaomfanya brand kwa mafanikio yao. Hata wewe watu wakikuona unakajikipaji flani wakiamua kukatumia kwa maslahi yao basi utakuwa tu.
Mku kwa njia ipi
 
Diamond ni freemason, na sio mkubaa kivile huko freemason, ktk hili nakubaliana na wewe.

Na sio Diamond tu bali na jopo la wasanii wengi, sababu kuu watu ni kupenda maisha ya anasa.

Kanumba yule kule pia na anatumia jina la Hassan, nafsi yake inatumika na mtu mwingine, sio Diamond wala msanii yoyote yule.

Nimeyajua haya baada ya kusikiliza mtu aliyepagawa na hizo roho za freemason. Devil z real and Almight God is Real, tutubu dhambi zetu, Yesu atarudi kwa mara ya pili.
 
Huenda nikawa kilaza sijaelewa chochote hapa
 
Mwepesi kutapeliwa ww[emoji1] [emoji1]
 
Mleta mada kuna sehemu ya kichwa chako haiko sawa, trust me.
Ulimwengu huo huujui ni siri kubwa kuujua mpaka roho mtakatifu akushukie na akusimamie,wenye nao wachoyo kutufundisha wanakula raha wenyewe tu,narudia hujui kitu mr.
 
Hii reply yako imenionyesha kuwa unasumbuliwa na kautumwa fulani. Watu wa aina yako huwa mnajua kupepeta tu mdomo bila hoja za msingi. Kwa heri.
 
Back
Top Bottom