Wasanii, mnajua ni mbinu zipi mwanamuziki Diamond anatumia kuwapiku? Je, yeye ni Freemason?

Wasanii, mnajua ni mbinu zipi mwanamuziki Diamond anatumia kuwapiku? Je, yeye ni Freemason?

,japo sasa hawaniwezi Mimi ni mtu mwingine kabisa hata Vatican wanajua,ila umaarufu wa vitu hivyo ni wa mda tu
Hapa ndipo nimeishia kusoma.

Fafanua kidogo hii sentensi naiona tata, Wanakujua kivipi???
 
Eti huyu naye ni my country mate......shame
Kafika chuo kikuu baada ywa kufanya mapenzi na binti anaejua hesabu,teh teh dah huyu ni mshamba mwenye "digrii".Anaunga unga viupuuzi puuzi.
 
Ili nchi isonge mbele ni lazima jamii izijue ishara hizo kama Ulaya na Marekani,ndio zenye nguvu ya kuwashika watu,bahati mbaya hakuna shule mpaka Mungu akugutushe!
wewe unaezijua hizo ishara unaushawishi gani?
 
Back
Top Bottom