AbouZakariya
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,646
- 2,378
Siku mabakuli na vikombe vitakapofunuliwa.......aibu.Mawazo ya mtoa mada bhaana!!
Yaani hadi umemtaja demu wako wa shuleni!!
Tutaonana siku ya hukumu tu.
Maana ndipo yote yatakapofunuliwa.
Kumjua wakala wa shetani na wakala wa Mungu kwa sasa ni ngumu.
Wametawaliwa na roho za kushindwa tu kila aliefanikiwa uhisiwa kuwa ni nguvu za giza.Mawazo ya Masikini utayajua tu.
Sio wewe tuu Mku hata mimi japo nataka uuelewaIvi ni mm tu ambae sijauelewa huu uzi au kuna mwingine
Mku kwa njia ipiHana mbinu zaidi ya watu wanaomfanya brand kwa mafanikio yao. Hata wewe watu wakikuona unakajikipaji flani wakiamua kukatumia kwa maslahi yao basi utakuwa tu.
Mwenye nguvu kuliko wote Ulimwenguni ndie kanidhibishiaWanawake wote duniani ni Freemasons? Mama yako ndio amekuthibitishia hivyo au dada zako?
Ameandika "kifriimason"Sijaelewa kama jamaa anataka tuige u friimasoni au vp maana pointi hazipo kwa mtindo wa aya pangilifu kufikisha ujumbe kwa hadhira [emoji21][emoji21] 002%
Sijaelewa kama jamaa anataka tuige u friimasoni au vp maana pointi hazipo kwa mtindo wa aya pangilifu kufikisha ujumbe kwa hadhira [emoji21][emoji21] 002%
Mwepesi kutapeliwa ww[emoji1] [emoji1]Diamond ni freemason, na sio mkubaa kivile huko freemason, ktk hili nakubaliana na wewe.
Na sio Diamond tu bali na jopo la wasanii wengi, sababu kuu watu ni kupenda maisha ya anasa.
Kanumba yule kule pia na anatumia jina la Hassan, nafsi yake inatumika na mtu mwingine, sio Diamond wala msanii yoyote yule.
Nimeyajua haya baada ya kusikiliza mtu aliyepagawa na hizo roho za freemason. Devil z real and Almight God is Real, tutubu dhambi zetu, Yesu atarudi kwa mara ya pili.
Mkuu nimefanya hivyo angalau asijeleta povu [emoji3] [emoji3] [emoji3]Aisee level yako ya grading ni mbaya, hiyo 2% umempia nini? hastahili
Ulimwengu huo huujui ni siri kubwa kuujua mpaka roho mtakatifu akushukie na akusimamie,wenye nao wachoyo kutufundisha wanakula raha wenyewe tu,narudia hujui kitu mr.Mleta mada kuna sehemu ya kichwa chako haiko sawa, trust me.
Hii reply yako imenionyesha kuwa unasumbuliwa na kautumwa fulani. Watu wa aina yako huwa mnajua kupepeta tu mdomo bila hoja za msingi. Kwa heri.Ulimwengu huo huujui ni siri kubwa kuujua mpaka roho mtakatifu akushukie na akusimamie,wenye nao wachoyo kutufundisha wanakula raha wenyewe tu,narudia hujui kitu mr.