Hapa ndipo nimeishia kusoma.,japo sasa hawaniwezi Mimi ni mtu mwingine kabisa hata Vatican wanajua,ila umaarufu wa vitu hivyo ni wa mda tu
Yupi huyoMimi nakueleza haya toka Kwa mtu mwenye nguvu Sijitungii wachache wataelewa I was born to educate
This is it
Kafika chuo kikuu baada ywa kufanya mapenzi na binti anaejua hesabu,teh teh dah huyu ni mshamba mwenye "digrii".Anaunga unga viupuuzi puuzi.Eti huyu naye ni my country mate......shame
Atumie mwenyewe,ajiskilize ajikune makalio ajikute Ikulu[emoji16][emoji23][emoji23]Hizo mbinu mpatie q chief na TID
wewe unaezijua hizo ishara unaushawishi gani?Ili nchi isonge mbele ni lazima jamii izijue ishara hizo kama Ulaya na Marekani,ndio zenye nguvu ya kuwashika watu,bahati mbaya hakuna shule mpaka Mungu akugutushe!
Ile biashara alifungaDiamondi karanga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mleta mada kuna sehemu ya kichwa chako haiko sawa, trust me.