sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
- #21
Dar es SalaamBahati mbaya Tanzania Haina mji wa kijanja hata mmoja,nilitamani ianzishwe mji wenye vibe kama Dubai au Mexico watu wawe kama vichaa kwenye utafutaji, Airlines Kali achana na hayo mashimo ya DSM,hapo buda hamna kitu,hata ukienda Montreal au Zurich utagundua kuwa tunaoigwa bao na kelele za wanasia wakati hayo majengo marefu hapo DSM hayana watu yako matupu.Ni wakati wa kuisimamai Tanganyika na na sio Tanzania
Tanga
Morogoro
Iringa
Mwanza
Hii ni baadhi miji yenye watu wanaojielewa sana.