Wasanii msipeleke burudani Mbeya, ule mji wa washamba

Dar es Salaam
Tanga
Morogoro
Iringa
Mwanza

Hii ni baadhi miji yenye watu wanaojielewa sana.
 
Umelalama bila kueleza hao watu wa Mbeya wamefanya nini hadi wewe ukakosa hotel ya nyota tatu!
 
Hizi ni hasira mwaisa, acheni uhalifu mji wenu umejaa watu masela mavi hamfai kupewa vitu vya kistaarabu.

Unasema uhoni vina maana gani na mkiona jengo lenye lift mnamwita spika azindue lift
 
Watu wa Mbeya wamegoma kukukuna nini? Maana si kwa hasira hizi? Au wamegoma kununua Tiketi zenu?
Kwa kashfa ya bosi wenu na kundi lenu ni bora mtafute mikoa mingine mkapige show, Mbeya hamuwezi kuwapata.
Yaani kisa mme-Pididwa na PDiddy ndiyo mlitarajia watu waje? Sahauni,
 
Mbeya ni mji uliojaa watu wanaopenda vurugu ushamba ni mwingi sana Mbeya. Unyani bado ni mwingi sana Mbeya ndio maana watu wenye akili zao hawaendi kuwekeza Mbeya.
 
Mbeya ni mji uliojaa watu wanaopenda vurugu ushamba ni mwingi sana Mbeya. Unyani bado ni mwingi sana Mbeya ndio maana watu wenye akili zao hawaendi kuwekeza Mbeya.
Ulitaka wanaume wajipake lipisticks midomoni na kuvaa nguo za kike ndiyo uwaonw wajanja?
Kwa tafsiri yako kuhusu ujanja ni bora waendelee kuwa washamba na mafala
 
Uduni wako kiakili unazidi kujidhihirisha kwa kuviponda aina hiyo ya vyakula

Usichokijua burger ndiyo chakula nafuu kama mihogo na chachandu tu.
Mbeya huwezi kukuta a nice restaurant, kwa nini? Mji umejaa washamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…