sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
-
- #21
Hiyo inaitwa nipe heshima yangu au niichukue kwa nguvu.Mtu aliyefanikiwa apongezwe lakini mafanikio yasiwe kwa ajili ya kutaka kuwanyoosha au kuwakomoa wengine huo tunaita ni ulimbukeni.
Lakini kwa nature ya "roho za watanzania" ni bora kuwanyoosha tu wakikuona ni limbukeni,mshamba potelea mbali.
Mapira ya kiDon.
Hapo sasa mwenye ubavu tumuone akimlipa.Mondi ni noma na nusu!!
Hii maana yake tunalazimishwa kumkubali hata kama hatutaki sisi haters wake!!!
Sawa ila level za kina Bakharesa na MO bado hajazifikia hoa ni watu wengine kabisa..Baada ya Super dupa staa Diamond kuingiza Cadillac escalade nyingine kwa ajili ya wasaidizi wake kwenye msafara ataokuwa akienda kwenye matukio mbalimbali. Mji umesimama kila mtu anasema la kwake wenye roho mbaya wamepata muhaho.
😀 😀Na wanao nyumbani wanajua baba yupo kazini...
Kazini kwenyewe ndio huku
Au nyeto kabisa.Kapige nayo picha bc
We jamaa bwana 🤣🤣🤣Na wanao nyumbani wanajua baba yupo kazini...
Kazini kwenyewe ndio huku
Acha mzahaTukienda na ukweli Diamond kamzidi pesa Mo
KwaniniShida ya hayo magari ni ya showoff sio daily drive.
😀😀😀😀vipi mkuu wanguWe jamaa bwana 🤣🤣🤣
TrueMtu aliyefanikiwa apongezwe lakini mafanikio yasiwe kwa ajili ya kutaka kuwanyoosha au kuwakomoa wengine huo tunaita ni ulimbukeni.
Lakini kwa nature ya "roho za watanzania" ni bora kuwanyoosha tu wakikuona ni limbukeni,mshamba potelea mbali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe jamaa nichenga sana1. Davido
2. WizKid
3. Burna Boy
Soon wataelewa ile tweet ya go google me
Umesahau kumuweka bob wine...hii gari atawatambia akina mwijaku na Hbaba na sisi wengine ugali dona kwa akina wizkidayo,davido na Burnaboy atasubiri sana...Baada ya Super dupa staa Diamond kuingiza Cadillac escalade nyingine kwa ajili ya wasaidizi wake kwenye msafara ataokuwa akienda kwenye matukio mbalimbali. Mji umesimama kila mtu anasema la kwake wenye roho mbaya wamepata muhaho.
View attachment 1828149