Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Huyu kashakosea.. alitoka nje ya mstari na mm naamini alivyokua kwenye dira yake na michongo alisaidia watu. Alikula na kugawana na watu, aliwa-inspire wengine na alikuwa kioo na mfano. Leo hii mud wake umepita kama ilivyo na itakavyokuwa kwa wengine.Sasa tatizo hapo ni Watanzania au Chid mwenyewe maana akipata hela anaenda kula UNGA,kunywa pombe na kuvutia bange
Utaona msululu wa magari ya kifahari kwenye mazishiMbona lipowazi wasanii wamsaidie au wanangoja aondoke ndipo waanze michango, badilikeni msaada kwanza,
Best rapa tumsaidie jamanChid Benz alipata Tatizo katika Mguu wake na sasa ni zaidi ya mwaka bado hajapata matibabu yanayoeleweka.
Huu mguu wake umeshaanza kutoa harufu Kali inayoashiria Tatizo ndani yake.
Kwa bahati Mbaya hajapata Matibabu yoyote imara yenye kuweza kumfaa huyu Kijana kupona.
Kama ilivyo watanzania huwa hatuna utamaduni wa kushughulikia tatizo likiwa katika hatua za awali .
Mateja wakipata vidonda haviponi sababu ya drugsUkute ni mchongo wa utajiri, hii dunia imechangamka sana
Siku akija kufa ndio watu wanajifanya kushangaa na kuna na RIP CHID za kutosha sanaChid Benz alipata Tatizo katika Mguu wake na sasa ni zaidi ya mwaka bado hajapata matibabu yanayoeleweka.
Huu mguu wake umeshaanza kutoa harufu Kali inayoashiria Tatizo ndani yake.
Kwa bahati Mbaya hajapata Matibabu yoyote imara yenye kuweza kumfaa huyu Kijana kupona.
Kama ilivyo watanzania huwa hatuna utamaduni wa kushughulikia tatizo likiwa katika hatua za awali .
Afu sijui kwann drug addicts huwa wanapatwa matatizo ya kuoza miguu, angalia mateja wote miguu yao inakuwaga ina shida hizoChid Benz alipata Tatizo katika Mguu wake na sasa ni zaidi ya mwaka bado hajapata matibabu yanayoeleweka.
Huu mguu wake umeshaanza kutoa harufu Kali inayoashiria Tatizo ndani yake.
Kwa bahati Mbaya hajapata Matibabu yoyote imara yenye kuweza kumfaa huyu Kijana kupona.
Kama ilivyo watanzania huwa hatuna utamaduni wa kushughulikia tatizo likiwa katika hatua za awali .
Yes inasikitisha Sana .Siku akija kufa ndio watu wanajifanya kushangaa na kuna na RIP CHID za kutosha sana
Ngoja tusuburi utaalamu kutoka Kwa madaktari wa JF.Afu sijui kwann drug addicts huwa wanapatwa matatizo ya kuoza miguu, angalia mateja wote miguu yao inakuwaga ina shida hizo
Kwaiyo shida inaanzia kwake hajijaliJuzi natoka katika show ya Friday night live ndo nimekaa na Chid Benz jamaa anaumwa Sana huo mguu unanuka hatari na mbaya zaidi jamaa anakaa amelewa 24/7 kutembea vizuri hawezi na akivaa kiatu ngozi inabaki ndani
Usishgae ndiyo haohao wamevuta na kusukuma vibuyuHapo Dar kuna matajiri wengi sana tena Ilala nyumbani kwao.
Yes inasikitisha Sana .
Ni sawa na alivyokuwa anaumwa Gardner wa clouds alianza kuumwa kitambo na bado wakawa wanamlazimisha aendelee na kipindi na sio matibabu kuna siku nilimkuta mliman City istanbull ile hali ilinifikirisha Sana.
Japo kifo hakiepukiki Ila kuna vifo ambavyo vinatokana na uzembe wa watu au MTU .
Huyu kashakosea.. alitoka nje ya mstari na mm naamini alivyokua kwenye dira yake na michongo alisaidia watu. Alikula na kugawana na watu, aliwa-inspire wengine na alikuwa kioo na mfano. Leo hii mud wake umepita kama ilivyo na itakavyokuwa kwa wengine.
Watanzania tumpiganie, watu walijivunia sana uwepo wake enzi hiyo Chi chi chi chidy ben'gq