Wasanii na ndugu wa Chid Benzi mpelekeni hospitali, huo Mguu wake unaoza

Humu lugha za kigeni saa ingine unasoma mpaka unapata kizungu zungu
Tuvumiliane tu kama tunaelewana, japo si vizuri kutumia lugha ambayo huijui vyema wakati kuna ambayo unaijua vizuri. Mfano mimi siwezi kuandika humu kwa kifaransa wakati kuna kiswahili na Kiingeeza japo kifaransa nakijua kwa mbaliiii
 
Huyu msanii bange zitamuua.

Halafu msanii unawekaje IG private si angeuza contents adownload hela insta huko?
 
Juzi natoka katika show ya Friday night live ndo nimekaa na Chid Benz jamaa anaumwa Sana huo mguu unanuka hatari na mbaya zaidi jamaa anakaa amelewa 24/7 kutembea vizuri hawezi na akivaa kiatu ngozi inabaki ndani
Wewe ulimpa msaada gani kabla ya kukimbilia hapa JF na kuanzisha huu uzi?
 
Picha ya mguu tafadhali
 
Kushare hii taarifa hapa lazima atapata msaada Mkubwa
Basi usiwalaumu sana ambao hawajamsaidia mpaka sasa hivi coz hata wewe hukumsaidia kitu,

Kuhusu matatizo ya Chid yanajulikana toka kitambo hata kabla ya huu uzi,

Nilivyoona unavyo waponda na kuwalaumu watu kwa kutomsaidia nikajua labda wewe ulimpa msaada,
kumbe ndio wale wale tu.
 
Dear young generation if you touch the shit and get high you will never go back
 
Tutammiss sana Ruge
Pamoja na kupigwa sana spana bado alisimama na utu wake kuwasaidia wasanii wanapokuwa kwenye mapito kama hayo
 
Mguu unatibiwa ila hauwezi pona kama hataki kuacha unga. Kidonda kitapona vipi na anakula unga 24 hours? Yani unataka ndugu au marafiki wafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…