Wasanii na watu maarufu waliovuma enzi hizo kwa sasa wako wapi..?

Mjomba Magu shikilia hapo hapo.Maisha yamekuwa magumu hadi watu wanakumbuka utotoni
 
Juma nature-ugali
Daz nundaz -barua
Witness,langa,shaa-wakilisha
Dully sykes-salome,nyambizi
TID-zeze
Wagosi was kaya.-traffic
Prof jay-zari LA mentality
University corner-tshirt na jeans
Soggy doggy-kibanda cha simu
Mandojo and domokaya-nikupe
Ocg-agwelina
Noorah_ice cream
Mangwea-mikasi
Eastcoast-mstari wa mbele
Ali kiba-sindersea
Jaydee-wanaume kama mabint
Ngwea-she got a gwan
Data's and squizer-why
Ay-yule
Mwana f.a-alikufa kwa ngoma
Mr blue..blue blue
Abby skills..Maria
........
......
........
E.t.c@old is the gold
-

-


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Da Jo
Sista P
Zay B

Wako wapi? wanafanya nini kwa sasa? Natafuta sana tracks za Da Jo.... daah back in ze day, when MUSIC was Music.

-Kaveli-
"Da Jo Da Jo tumekukubali na Bado ,Inspector Mwenyewe anazimia na Mimi" - Da Jo
 
Mkuu, nazitafuta sana nyimbo za Da Jo bila mafanikio.

-Kaveli-
Nimbo zake ngumu sana kupatikana,ila ninayo moja hivi yupo na somebody BLACk chorus Da jo da jo tumekukubali,yeye anaitikia Na Bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…