vposterior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 732
- 1,233
- Thread starter
- #21
Fungu kutoka kwa fisadi Lowasa, mwana CCM mwenzako.Kwa akina msaga sumu 2015 ilikuwa njaa vitisho au fungu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fungu kutoka kwa fisadi Lowasa, mwana CCM mwenzako.Kwa akina msaga sumu 2015 ilikuwa njaa vitisho au fungu?
km huu uko powa sanaIla inajulikana mameneja wa wcb ni CCM si mnamuona Babu taale, mkubwa fela
Over
This time wamekua wengi mnoo kama wamepania vile.Mbona hamna kipya maana ni yale yale ya wasanii kutumika wakati wa kampeni.. labda term ijayo watafikiriwa hata kwa kujengewa Arena maana toka wahaidiwe ni miaka
This time wamekua wengi mnoo kama wamepania vile.
2015 ccm ilitumia wasanii wengi niliona hata kosta yao Hadija kopa akawa anatutukana kwa dirishani kwasababu tulimuonyesha alama ya Victory.Mimi naona kawaida haswa kwa CCM kutumia wasanii wengi. Nakumbuka 2015 nilikuta mji flani watu wana story ya kampeni maana wengi waliona ni kama fiesta, wengi walihudhuria kuona wasanii wengi A'list lakini sio kusilikiza sera
Cha tofauti labda ni coverage ya mtandao lakini vingine ni kawaida
Na wewe toa nyimbo ya kuponda, hujakatazwa! Usiwapangie wenzako. Wana macho na wanaona wenyewe.Kuelekea Uchaguzi Mkuu naona imekuwa fashion kwa wasanii kila mmoja anatoa nyimbo za kumsifu Magufuli na CCM.
Hii si bure lazima kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia.
Inawezekana kabisa njaa imetawala kwa wanamuziki labda kutokana na janga la Covid-19 lililotukumba hapo nyuma. Au wanamuziki wanapokea vitisho na kulazimishwa kutoka juu waunge mkono juhudi. Yawezekana pia kuna donge nono wasanii wanahongwa kuikamilisha hii agenda.
Niwashauri baadhi ya wasanii wenye fan-base ndogo wabakie tu neutral kuna maisha baada ya uchaguzi.
Unakuta msanii akitoa nyimbo anapata view laki mbili kwa mwezi mzima halafu bado unawagawa mashabiki wako kwa siasa za kuwanufaisha wengine.
Kopa ni mwanachama wa sisiemu2015 ccm ilitumia wasanii wengi niliona hata kosta yao Hadija kopa akawa anatutukana kwa dirishani kwasababu tulimuonyesha alama ya Victory.
Ila this round njaa imekua kali mnoo wasanii maarufu 80% wamebidi wafanye kazi ya msukuma na kibajaji kwa lazima.
Nani amebisha?Kopa ni mwanachama wa sisiemu
Bana choo mkuu, sio maneno yangu bali ni ya msanii HARMONIZE.Kuelekea Uchaguzi Mkuu naona imekuwa fashion kwa wasanii kila mmoja anatoa nyimbo za kumsifu Magufuli na CCM.
Hii si bure lazima kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia.
Inawezekana kabisa njaa imetawala kwa wanamuziki labda kutokana na janga la Covid-19 lililotukumba hapo nyuma. Au wanamuziki wanapokea vitisho na kulazimishwa kutoka juu waunge mkono juhudi. Yawezekana pia kuna donge nono wasanii wanahongwa kuikamilisha hii agenda.
Niwashauri baadhi ya wasanii wenye fan-base ndogo wabakie tu neutral kuna maisha baada ya uchaguzi.
Unakuta msanii akitoa nyimbo anapata view laki mbili kwa mwezi mzima halafu bado unawagawa mashabiki wako kwa siasa za kuwanufaisha wengine.
Sasa unashangaa nini mwanachama wa sisiemu kuimba nyimbo za sisiemu? Hivi mmerogwa mara ngapi?Nani amebisha?
Kuelekea Uchaguzi Mkuu naona imekuwa fashion kwa wasanii kila mmoja anatoa nyimbo za kumsifu Magufuli na CCM.