Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Nimeona picha yule babu tale amevaa kijani mwili mzima nazani mpaka boxxer. Nilijua ni mgomba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mtia nia yule ktk chama chenye dola na chenye uhakika wakushinda kwa sera, popularity na kilichowafanyia mengi wananchi, tena yasiyohtaji tochi kutazama na kuyaona.Nimeona picha yule babu tale amevaa kijani mwili mzima nazani mpaka boxxer. Nilijua ni mgomba.
Mataga usiwe serious na vitu minor kama hivi.Ni mtia nia yule ktk chama chenye dola na chenye uhakika wakushinda kwa sera, popularity na kilichowafanyia mengi wananchi, tena yasiyohtaji tochi kutazama na kuyaona.
Kwamba ulitaka kumuona kavaa Gwanda la makamanda au??
Sanaa ni KAZI kwani kwenye kazi mtu anataka nini na nini?!!
Kuelekea Uchaguzi Mkuu naona imekuwa fashion kwa wasanii kila mmoja anatoa nyimbo za kumsifu Magufuli na CCM.
Hii si bure lazima kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia.
Inawezekana kabisa njaa imetawala kwa wanamuziki labda kutokana na janga la Covid-19 lililotukumba hapo nyuma. Au wanamuziki wanapokea vitisho na kulazimishwa kutoka juu waunge mkono juhudi. Yawezekana pia kuna donge nono wasanii wanahongwa kuikamilisha hii agenda.
Niwashauri baadhi ya wasanii wenye fan-base ndogo wabakie tu neutral kuna maisha baada ya uchaguzi.
Unakuta msanii akitoa nyimbo anapata view laki mbili kwa mwezi mzima halafu bado unawagawa mashabiki wako kwa siasa za kuwanufaisha wengine.
Angeimbiwa hata mama yako mkuu bila shaka kafanya mengi sio Magufuli tu.Ulitaka wamuimbie Babaako kwa kipi alichofanya?
Kuelekea Uchaguzi Mkuu naona imekuwa fashion kwa wasanii kila mmoja anatoa nyimbo za kumsifu Magufuli na CCM.
Hii si bure lazima kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia.
Inawezekana kabisa njaa imetawala kwa wanamuziki labda kutokana na janga la Covid-19 lililotukumba hapo nyuma. Au wanamuziki wanapokea vitisho na kulazimishwa kutoka juu waunge mkono juhudi. Yawezekana pia kuna donge nono wasanii wanahongwa kuikamilisha hii agenda.
Niwashauri baadhi ya wasanii wenye fan-base ndogo wabakie tu neutral kuna maisha baada ya uchaguzi.
Unakuta msanii akitoa nyimbo anapata view laki mbili kwa mwezi mzima halafu bado unawagawa mashabiki wako kwa siasa za kuwanufaisha wengine.
Na wewe toa nyimbo ya kuponda, hujakatazwa! Usiwapangie wenzako. Wana macho na wanaona wenyewe.
Nasubiri kuona ikitekelezwa.View attachment 1503505View attachment 1503507
Angeimbiwa hata mama yako mkuu bila shaka kafanya mengi sio Magufuli tu.
Una uhakika wanafanya kwa mapenzi yao hawakutezwa nguvu na system waunge juhudi.Wewe uliyeshiba ungeimba za chadema ili kuwapa hamasa, maana hao hawana pesa basi waimbie buleili utimize shibe yako,
Waache wenye njaa wajitafutie maana familia zao zinawajua wao na sio wewe.
Hata wakibaki na njaa zao hutawashibisha zaidi ya kuwazodoa.
Heshumu haki na mapenzi ya mtu pale anapoona ni sawa yeye kuamini.