Wasanii ni njaa imetawala au mnalazimishwa kumuimba Rais Magufuli na CCM

watu wanatafuta ulaji october inaonekana CHADEMa hawawalipi vizuri wasanii. haiwezekani wasanii wote wanatoa nyimbo kusifia ccm... njaa mbaya sana ila ndo ivo upunzani itabidi waamke wenzao washaanza kampeni kwa kutumia wasanii
 
Mbona hamna kipya maana ni yale yale ya wasanii kutumika wakati wa kampeni.. labda term ijayo watafikiriwa hata kwa kujengewa Arena maana toka wahaidiwe ni miaka
 
Kuna wapuuzi jana nimeona wametoa linyimbo lao alafu wamevaa manguo ya uvccm 🤣
Yani nikiona hayo manguo huwa naona kifo kwasababu nilishuhudia watu wakifanywa vilema na wengine kupotezwa kabisa na uvccm waliovalia hayo manguo.
Nilichogundua ni njaa zinawapelekea kurekodi huo utopolo ili wapewe show kwenye kampeni za CCM.
 
Mbona hamna kipya maana ni yale yale ya wasanii kutumika wakati wa kampeni.. labda term ijayo watafikiriwa hata kwa kujengewa Arena maana toka wahaidiwe ni miaka
This time wamekua wengi mnoo kama wamepania vile.
 
This time wamekua wengi mnoo kama wamepania vile.

Mimi naona kawaida haswa kwa CCM kutumia wasanii wengi. Nakumbuka 2015 nilikuta mji flani watu wana story ya kampeni maana wengi waliona ni kama fiesta, wengi walihudhuria kuona wasanii wengi A'list lakini sio kusilikiza sera

Cha tofauti labda ni coverage ya mtandao lakini vingine ni kawaida
 
2015 ccm ilitumia wasanii wengi niliona hata kosta yao Hadija kopa akawa anatutukana kwa dirishani kwasababu tulimuonyesha alama ya Victory.

Ila this round njaa imekua kali mnoo wasanii maarufu 80% wamebidi wafanye kazi ya msukuma na kibajaji kwa lazima.
 
Kipindi hiki watu wanapewa au wanagawiwa vyeo hovyo hovyo tu ili mradi umsifie Magufuli na CCM kwaivo tumia kipaji chako kusifia.

Ndio maana msanii anatakiwa atunge nyimbo ya kumpamba kweli kweli Magufuli,akiķuona nà akifurahi utapewa cheo cha bure.

Kwahiyo hiyo ni njia ya kuomba kitu kupitia kipaji chake.
 
Na wewe toa nyimbo ya kuponda, hujakatazwa! Usiwapangie wenzako. Wana macho na wanaona wenyewe.
 
Kopa ni mwanachama wa sisiemu
 
Bana choo mkuu, sio maneno yangu bali ni ya msanii HARMONIZE.
 
Acheni kulialia, wekeni dau mezani Wasanii wapige kazi....wapo kina nay wa mitego kaeni mezani kazi ipigwe.
 
Akina Wakazi wamemuimbia Mbowe na chadema.... coming soon...

Kila msanii ana uhuru wake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…