Wasanii ni njaa imetawala au mnalazimishwa kumuimba Rais Magufuli na CCM

Njaa dawa yake chakula, Ukiwa na chakula hata wewe watakuimbia,
Wewe Endelea kulalamika Wakati Huna chakula cha kuwapa!!
 
Van boy nae katoa za kusifu kwa mpigo kama tatu hivi zote za Chama kile CCM MBELE KWA MBELE, HATUNYWI SUMU HATUJINYONGI, CHAGUO LETU WENYEWE TUMELIPENDA WENYEWE 🤪🤪🏃🏃
 
Nimewakumbuka bongo movies nao walifanyaga kweli iyo kazi baada ya hapo naona wakasahaulika
 
Na wewe mbona unamsifu?
Unasema janga la COVID lililotukumba "HAPO NYUMA" kwani nani kaliondoa sasa?
Ni njaa au Umelazimishwa?
 
Kwa hiyo kwako wakiwaimbia ccm nongwa?

Tunga za vyama vingine mkuu.
Sio nongwa kama wanafanya kwa mapenzi yao, tatizo jamaa anapenda kusifiwa ukimsifu anagawa ubunge. Kitendo cha kusema Hamornize ni mbunge material unadhani ni sawa. Kuna hongo inanukia mkuu.
 
Wameshaimba nani na nani? Ndo nafungua tbc namuona chuchu kwa mujibu wa baba Magufuli
 
Hii si bure lazima kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia.
Acha kupiga ramli
Kilsa mtu anayo haki ya kufuata chama akipendacho,ndio hata wapo kina professor Jay
Hivi nyie Tanapa ni demokrasia gani mnayolilia?tukiwapa nchi mtaka vichwa wapinzani wenu nyie
 
mbona namuona kama Mbasha kule nyuma au ndio dj
 
Mfano Marlaw sasa anatunzwa na mke wake mtoto wa tajiri
 
Wasanii wa bongo wengi sio wasomi, hawajitambui na hawaelewi wanataka nini kwenye sanaa, kubwa zaidi njaa zao ni kali sana
 
Hapo kwenye bold namuonea huruma sana bekafeva
 
Wasanii wa bongo wengi sio wasomi, hawajitambui na hawaelewi wanataka nini kwenye sanaa, kubwa zaidi njaa zao ni kali sana
Sanaa ni KAZI kwani kwenye kazi mtu anataka nini na nini?!!
 
Ulitaka wamuimbie Babaako kwa kipi alichofanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…