Wasanii ni njaa imetawala au mnalazimishwa kumuimba Rais Magufuli na CCM

Yote sawa njaa na kulazimishwa kujipendejeza bila hivyo basata iko kazini si unajua chuki ya awamu hii tena?
 
Tujuze ni njaa, vitisho au kuna fungu kutoka hazina mkuu.
Kwani wasanii hawaruhusiwi kuwa wanachama wa chama Fulani? Kwani Marehemu MWANACOTIDE na BABA LEVO kilichowapeleka CHADEMA ni njaa au vitisho?
 
Uchaguzi ni biashara kama biashara nyingine tu, waache wasanii watumie fursa.
 
Kwani wasanii hawaruhusiwi kuwa wanachama wa chama Fulani? Kwani Marehemu MWANACOTIDE na BABA LEVO kilichowapeleka CHADEMA ni njaa au vitisho?
Wanaruhusiwa kuwa CCM tu ukiwa chama cha upinzani unatekwa. Wapi Roma Mkatoliki?
 
Ikiwa Mondi ana njaa sasa sijui wewe una nini!
 
Mimi ni Musician ,Niliwahi kufanya kampeni Zanzibar 2005 "hakuna pesa ya Maana" Hawa Wasanii Si njaa na hakuna vitisho ingawa Kusema kweli uchaguzi mwaka huu Wasanii wengi wametoa nyimbo ,ila wengi wao wanatumia fursa kujijenga .πŸ˜…
 

Nashindwaga kuelewa watu kama nyie Hapo tu. Nini maana ya Demokrasia na uhuru binafsi wa mtu. Sons of Contradictions.
 
Wanao uhuru huo kama itakuwa wanafanya kwa mapenzi yao. Mimi nina wasiwasi tu mkuu huenda ni njaa, vitisho au kuna fungu kutoka hazina.
Wakifanya kwa mapenzi yao watapotea bora wafanye kwaajili ya pesa ili wakipotea mfukoni kuwe vizuri
 
"Hungry Lion Never Sleep"
πŸ˜πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒ
 
Nashindwaga kuelewa watu kama nyie Hapo tu. Nini maana ya Demokrasia na uhuru binafsi wa mtu. Sons of Contradictions.
Demokrasia inakataa watu kushurutishwa kufanya jambo au kutumia hongo. Wasanii inaonyesha wanajikomba kusudi either kwa njaa (vyuma kukaza) au wanshurutishwa kuunga juhudi au kuna kahakiba kilichobaki hazina kinatumiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…