Majority of folks here are more Anti-CCM than Pro-Maendeleo. Which doesn't make any sense.
Una maanisha pro ccm equals pro maendeleo?
Hapo kwenye kuhusu uamuzi wa wasanii hao,lazima mjue hao si wananchi "wa kawaida"
Moja; Msanii ni mwananchi wa kawaida na ana haki ya kupigia debe chama chochote anachokitaka. Just like Jay-Z and Luda campaigned for Barack.
Pili; There is a reality detachment between wabongo WENGI wa jambo forum na wabongo tulioko bongo. You guys don't understand siasa za hapa as mbongo wa kawaida sees it.
Tatu; Majority of folks here are more Anti-CCM than Pro-Maendeleo. Which doesn't make any sense. You guys need to be rebels with causes, and not just anti-establishment.
Nne; Who stopped Upinzani from reaching out to watu mashuhuri hapa nyumbani ili waweze kuwanadi?[/QU
OTE]
Mtumeeeeeeeeeeee....
Hii ni elitist POV isiyo na mshiko hata kidogo kwa hali halisi ya kisiasa. Umri wa kupiga kura ni kuanzia miaka 18 na Bongofleva ina appeal kubwa sana kwa vijana wa rika 18 na kuendelea aka kizazi kipya ambao ni wengi kweli.
Hakika CCM hapa imefanya mauaji! Nadhani CUF watabakia na Mzee Yusuf na Dogo Mfaume wakati CHADEMA wataambulia Nakaaya Sumari na Wasanii wawili-watatu wa nyimbo za Injili.
Elitist or not, unategemea Juma Nature aje kuwa Lech Walesa wetu siyo? Kwa understanding gani, conviction gani, passion gani, experience gani aliyokuwa nayo? Hivi ushamsikiliza anavyoongea mavi - literaly anaongea kuhusu kunya na mavi kama si kitu vile- katika rekodi zake, I am not talking figuratively.
Akialikwa Ikulu kupiga picha na Kikwete tu, na ahadi mbili tatu za hakimiliki, ambazo hazitekelezeki by the way, CCM imemaliza kazi.
This is what happenned here.Sasa mimi kusema upinzani kuweka matumaini katika Bongofleva ni delusion unaona si sawa?
Selemani kasema
Halafu response ya JMushi ni
A little comprehension is dangerous indeed!
Hapo CCM ishasomba kura kibao utadhani wanazihataji saana vile! Kalagabaho!
Nionyeshe wapi nimesema huna haki ya kusema chochote kuhusu celebrity?
Hebu nionyeshe hicho kipande, ama sivyo omba radhi hapa kwa kuweka maneno mdomoni mwangu, na kwa kuwa na comprehension ya kichwapanzi.
Kiranga no disrespect,watever you said is irrelevant.....Mimi kama mshabiki wa Prof Jay, na wengineo,akaja kuniambia niichangie ccm,nina haki ya kumwita watever i want kama mimi siyo ccm,its called freedom of speach,wao wana nafasi zaidi ya kuilemisha jamii ama kusend ujumbe,na mimi kuwasema kuwa wamechemsha haina maana nawachagulia destiny,isipokuwa natumia haki yangu ku comment about their decisions since i am a fan!
Hata kina Jay Z nk,si kila mtu alifagilia yeye kumuendorse Obama,at the same time yule mpuerto rico anayejiita Dady Yankee(kuna mwingine anaitwa bulldog or smthin along those lines,)not exactly sure which one but endorsed John Mc Cain,lakini people talked a bunch of shit about it,i dont c eni difference on dis one.
Ulisema everyone has a right to decide his own destiny,na kwahiyo no need to say anything about their decisons,na ukadai solution ni ku boycott cd zao nk na si kuwa "group thinking",na mimi nikakwambia it is irrelevant,nina haki ya kusema chochote kuhusu hilo,sasa hayo ya kichwa panzi yanaonyesha una hasira sasa...issue hapa si destiny,ni wao kudai wapenzi wanaonunua muziki wao waichangie ccm.
There is a difference between a nuanced, detailed, well argued case and one in which you are going after someone simply because his/her choice is different from yours.
I have challenged you and gave you every opportunity to provide a detailed case why is it bad for Bongofleva stars to endorse CCM, so far you have not provided anything coherent, unabakia "mimi kama fan nina haki ya kutalk shyt about them".
Nikakwambia talk shyt as long as you are talking shyt, but as to presenting a well argued persuasive case, you totally failed. Umesema ufisadi nimekwambia kuna watu wanaamini the best party to fight ufisadi is CCM, kuna wengine hata hawaamini kwamba ufisadi ni mbaya hivyo na actually wanaamini ndiyo chance yao pekee ya kukimbia umasikini. Sasa njoo na arguments zenye uzito, si kumbalasa mtu kwa sababu ana endorse CCM.
Of course ishasomba kura kibao, naturally kuna watu walio too inexperienced/ lazy/ young to think critically on their own.So they will look up to their idols and say if Jay, who is way cooler than me, is endorsing/ voting CCM perhaps CCM is the way to go despite all the fuss.
Point yangu ni kwamba, kama kuna watu walikuwa wanafikiri kwamba Bongofleva ni kitu cha kutegemewa kutoa dira madhubuti ya kisiasa, ku fight the power, kuwa not only anti-establishment but also pro progress, hawa watu ndio wanao ni disappoint kuliko Bongofleva yenyewe.
Ni kama ukamate mwanamke wa Ohio Street halafu utake kumfanya housewife, kesho keshokutwa akikufanyia visa visivyotajika na mwanamme mwingine ukishangaa, mimi sitamshangaa huyu mwanamke wa Ohio St, nitakushangaa wewe unayemshangaa.
Issue hapa siyo destiny?
You not only missed the dhow in your marooned islet, you missed the entire Monsoon season.
Huwezi kusema unaheshimu haki ya wenzako kuwa na mtazamo tofauti kisiasa, halafu wanapokuja na mtazamo tofauti unawasema vibaya kwa sababu wamekuja na mtazamo tofauti.This is a total contradiction.
Either huheshimu haki ya wengine kuwa na mtazamo tofauti wa kisiasa, na ndiyo sababu unawabalasa hawa, au kama unaheshimu huwezi kuwabalasa on the sole basis of having a different political opinion.
Kwa sababu unawabalasa, I take it huheshimu haki ya watu wengine kuwa na msimamo tofauti kisiasa, despite your politically correct disposition which seems to lack conviction when examined deeply. Unasema unaheshimu uhuru wa kisiasa kwa sababu ukisema huheshimu utaonekana kuwa a dinousaric bullish monster running on an antiquated steam engine and completely out of touch with freedom of expression and political affiliation, maneno yako yanaonyesha hili.
I mean, I hate CCM too, but give me something to work with here. Give me something a bit more nuanced, a bit more interesting, a bit more detailed than the generalities of "CCM mafisadi".
Kuna wengine wanaamini CCM mafisadi na chama pekee chenye uwezo wa kumaliza ufisadi ni CCM, kwa maana ya kwamba vyama vingine vyote vya upinzani ni njaa kali kuliko CCM na kuchagua upinzani kutakuwa ni sawa na walichofanya Zambia kumtoa Kaunda na kumleta Chiluba, au Kenya kukitoa KANU na kumleta Kibaki. Unaona mchezo ulivyo complex hapo?
You should know better than that.
Cheki na higlights hapo juu plus my previous posts....Kina profesa Jay si "Watu wengine" Hopefully umeelewa!
Yu meant artistically or just a fan?
That is where you are wrong, kina Profesa Jay "si watu wengine" bali ni nani wale?
Miungu watu? Elected officials? Your indentured servants?
What's next, utataka kuwalazimisha wapigie kura upinzani?
Either...or....to me u sound like one....
Siyo watu wengine kwasababu wana access ya media kuliko wewe,wao ni celebrities,hawana immune kama mimi na wewe,shangaa kwanini unaweza kum sue celebrity akikutukana lakini yeye hawezi kumsue mwananchi wa kawaida,nilishasema hapo nyuma,kama hakuna tofauti kati yako na kina Prof Jay kwanini wasingekuhitaji wewe?
Na hakuna pahala nime imply waupigie kura upinzani.
Ha ha ha!Yur very funi....Matter of fact i am a fan,dats why i am a little dissapointed,however that does not constitute mi tryn n decide dey destiny,wat do you think?The final decisions are theirs,but does it mean we arent allowed to say they were wrong?Just as you can say the're rgt or remain neutral?