Wasanii toka Arusha acheni kujibagua na kupigania mkoa badala ya taifa

Wajinga huo mziki wenu unajulikana wapi kwanza mnabaguana wenyewe kaeni mtulie bado mkoa wenu hauna potential ya kuhost wasanii wakubwa dar mtakuja tunamitambua kwa meno na kugombania mitumba pale karume
Kwa hiyo unajivunia Dar!? Dar kwa kiwango kikubwa ni mkoa wa wageni. Hata wwewe inawezekana umezaliwa Dar lakinj wazazi wako wakuja.. Hivi miziki ya mikoa mingine inajulikana huko nje unakodai!? Hebu nitajie mikoa ambayo miziki yake inajulikana nje. Usije ukanitajia Amapiano tu we mbulula! Mitumba inasitiri WaTz wengi tu, unless wewe umezoea kwenda kwenye malls kubwa kupasuka.
 
Hulazimishwi kumkubali msanii. Muziki ni hisia wewe mbulula. Ukiona uhuelewi ujeu huo sio kwa ajili yako. Kasikilize uliyotungiwa kwa ajili yako. Kuna watu Tz hii wanakunywa maji yanatoka migodini kusafisha madini. Angalia jamii yako isije kuwa mojawapo.
 
Wapi
Nani
Lini
Nini

Tuanzie hapo kwanza.
We mchaga hii thread ningeanzisha mimi ungesema ni chuki zangu, mara kadhaa kwenye mjadala wa mziki wa hip hop nilikuambia jamaa wako weusi wanabebwa kwasababu ya ukanda

Haya leo kaja mtu mwingine kuleta habati hiyo hiyo, bado hamjifunzi badilikeni
 
Naomba niulize "wanabebwa na nani"? Hivi shida ni Weusi au wasanii wa Chuga?
 
Hii comment ningeandika mimi ningeshambuliwa sana maana watu wa arusha hili swala hawataki kulisikia naliongelea

Kunaye presenter mmoja ana mambo ya ukanda sana mpaka nikki mbishi alimchana makavu
 
Kama unamfahamu Saleh Jabir ina maana umri wako ni zaidi ya 30yrs... kinachonishangaza ni huu upumbavu wako unatoka wapi kiasi kwamba unakuwa kama vile hauelewi mada?
 
issue ya watu wa chuga kuwa na ubaguzi hiyo ni kawaida yao,sio wote ila wengi wao wana hiyo , kwa waliosoma UG watakuwa mashahidi, waTanzania kutoka mikoa yote huwa pamoja kwa kigezo cha U-TZ lakini wao huwa wanajitenga kwa kigezo cha ukanda (kmanjaro & Arusha)
 
Hii comment ningeandika mimi ningeshambuliwa sana maana watu wa arusha hili swala hawataki kulisikia naliongelea

Kunaye presenter mmoja ana mambo ya ukanda sana mpaka nikki mbishi alimchana makavu
Kwenye maredio wanapeana utangazaji halafu wanadai eti wana vipaji hwajiamini wa wewe competition waone sio kubebana
 
Nilikuwa nao kenya miaka fulani watu wa chuga ni wabaguzi na dili zao za magendo tu

Hapo south tu masailors wana umoja sana ila hao jamaa ushamba mwingi hawajui nn wamafuata mibangi tu mwishowe yanakuwa mateja
 
Sasa ndo uandike kwa hicho kiswahili cha kipumbavu ili tujue kwamba na wewe umetoka huko Arusha? Ukiandika kawaida utakufa? Watu wa Arusha acheni usela mavi.
Wee ni pimbi kinoma ..peleka chuki zako huko kwenu tandahimba sisi ukitufuatilia utakufa achana na life etu asee chali yangu.
 
Kwani nani anayekufuatilia pambana na hali zenu lina tunawakilishwa na diamond na kiba kigoma boys pamoja na konde boy

Nyie vuteni bangi tu
Bangi ndio kalcha yetu wee raru ..sisi hatutaki shobo na wapuuzi kama nyie matakataka. Kama hamtufuatili kwanini kila siku kutuandama? Sisi tuna mziki wetu, tuna maisha yetu, tuna uchumi wetu, sisi hatitegemei serikali ituletee maendeleo. Sisi tumetapakaa Tz nzima tuna piga hela tunawaacha nyie wavivu wavivu muendelee kulia lia tu ..kama una hasira sana meza wembe au weka mguu mfukoni.
 
Kuna hawa akina mbeya city nao naona wameanza kuiga...wanapenda sana kutaja taja mahali wanapotokea kwenye nyimbo zao sijui sasa ili iwwje[emoji3525][emoji3525][emoji3525]
 
Hela zip unadhani zile hotels ni zenu na ni wawekezaji kwa ajili ya watalii na ivyo vyuo kajenga baba ako , na hayo mahotel unaongea ufala tu bangi sio fresh pambana na maisha ya kwenu wacha kuwa too generali
 
Kama unamfahamu Saleh Jabir ina maana umri wako ni zaidi ya 30yrs... kinachonishangaza ni huu upumbavu wako unatoka wapi kiasi kwamba unakuwa kama vile hauelewi mada?
Simply wewe ndio mpumbavu. Huna ulilojibu kati ya hayo niliyouliza hata moja. Endelea kupaliwa na chuki. Ila tambua kila msanii anafanya game vile anavyoona inafaa kwa maslahi yake.
 
Kwenye maredio wanapeana utangazaji halafu wanadai eti wana vipaji hwajiamini wa wewe competition waone sio kubebana
Taja jina/majina ya redio acha porojo. Anayeajiri ni mwenye redio. Anzisha na wewe ya kwako uajiri unavyotaka. Una chuki za kijinga sana. Hii nchi ina vituo vya redio zaidi ya 100, kwa hiyo huko kote wako wao!?
 
Nilikuwa nao kenya miaka fulani watu wa chuga ni wabaguzi na dili zao za magendo tu

Hapo south tu masailors wana umoja sana ila hao jamaa ushamba mwingi hawajui nn wamafuata mibangi tu mwishowe yanakuwa mateja
Dili zao za magendo zinakuzuia wewe usifanye dili zako!? Bangi ni starehe yao, na wewe fanya starehe yako. Kweli ugumu wa maisha , unazalisha ma_snitch.
 
Taja jina/majina ya redio acha porojo. Anayeajiri ni mwenye redio. Anzisha na wewe ya kwako uajiri unavyotaka. Una chuki za kijinga sana. Hii nchi ina vituo vya redio zaidi ya 100, kwa hiyo huko kote wako wao!?
Ona ulivyokuwa choko kwanza hujui hata unoangea nn sina mda kusikiliza mabangi
 
Ubaguzi ni jambo inevitable...

Ukiruka ufamilia utaangukia kwenye ukoo, ukiepuka ukoo utajikuta una ukabila, ukikataa ukabila utajikuta una ukanda mara utaifa nk. Hata wale wanaojitahidi kujibagua kwamba tupendane sisi waafrika na tuwabague waasia na wazungu hatimaye wanajikuta wanatengana tena wao kwa wao kwajili ya dini.

Hao uliowasifu wanajiproud na unaijeria kwanini wasipiganie uafrika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…