Kelvin X
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,940
- 2,401
Weusi sio leboTatizo majamaa hata kwenye maisha ya kawaida wao hujitenga. Diamond ukitoa haya mabifu yake na kina kiba & harmonize lakini lazima tukiri hana haya mambo ya ukanda. Harmonize from Mtwara, Rayvany from Mbeya ambao chini ya Diamond wamekuwa wakubwa. Lakini ukija Weusi wanaojiita kampuni ni kwamba wote wametokea sehemu moja na ni ngumu kusikia hata wanasajili msanii toka kwingine.